Mbalamwezi
JF-Expert Member
- Sep 30, 2007
- 800
- 172
huu ndio unaitwa uku**nina wa tanzania
Kama hutaki bima, tembelea mitaa ya mkwepu pale kuna vijana wanauza stika za bima yeyote unayoitaka kwa buku tano tuu.
TIRA, ATI, TIBA, IIT na regulators wengine kwamba wanaongozwa na wahindi wenye kumiliki haya makampuni binafsi.. tax juu, bima juu, spear juu!! what a life..
Okay, makampuni ya Wahindi.sana sana ni kuwachangia hao wahindi wa makumpuni ya bima fedha za bure...kuendelea kuchangia makampuni haya ya Wahindi