Gharama za Dreamliner zaibua mjadalala

testa

JF-Expert Member
Joined
Jan 16, 2012
Posts
442
Reaction score
180
Wakati Serikali ikitangaza gharama za safari ya timu ya Taifa "Taifa stars" kwenda Cape Verde ni dola 1,500 na dola 2,000 wadau wameibuka na kudai fedha hizo ni nyingi kwa Mtanzania wa kawaida kumudu
Wakizungumza kwa nyakati tofauti jana, wadau hao walisema gharama hizo ni kubwa kulinganisha na hali ya kiuchumi ilivyo wametoa rai kwa Serikali kuangalia upya gharama ya usafiri..

chanzo gazeti la Mwananchi
 
Kwahiyo ikipungua mafuta yataliwa na hela gani...?
 
Timu ya Taifa na ndege pia ni ya Taifa so ni kutoa mfuko wa kushoto kupeleka wa kulia hapo watoto wa mjini tunasema ngoma droo
 
Aibu Sana hii ni timu ya taifa hiyo lazima tuonyeshe uzalendo na utaifa watu wanafikiria faida tu tena wangetumia nafasi hii pia kuitangaza hiyo ndege..wafikirie upya hiyo nauli
 
Kwahiyo ikipungua mafuta yataliwa na hela gani...?
kuwa muelewa mkuu!!serikali imesema kuwa imetoa ndege hiyo hata kama itaenda na wachezaji tu na viongozi lazima iende!!haitegemei mashabiki kuchangia!!sasa tuseme timu na viongozi wawe 30!! kuna nafasi kama 220!!kipi afadhari uwatoze watu japo laki tano ili ndege ijae au iende na hao watu 40?!!tuni suala la mahesabu bu kwa nauli ya milioni 3.4,, sijui kama hata abiria 50 watapatikana!!labda kama sio mashabiki ila ni wafanyabiashara waendao kuangalia fulsa!!!ila kwa wale wapaka marangi mwili mzima hakuna hata mmoja!!
 
Waende watanzania ambao siyo wa kawaida
 
Sisi tunaenda kama huna fedha ni wewe usijumuishe Watz wote
 
kama mechi itakuwa live, siwezi toa hz dola buku jero.
 
Na ambao ndo amsha amsha ya uwanja hawawezi kwenda wataenda waliovaa suti tu na kupiga makofi basi
 
UNAHISI INATUMIA MKOJO WAPUNDAA EEH
 
U
No!
Waweke bond hela iliyotajwa.
Wakishinda wanarudishiwa yote, lkini wakifungwa inakula kwao.
SHAZOEE VIZIGO VYA SINZA MNAWEKA SIMU NISIPOKOJOA BAADA YA DK KUMI SIMUYANGU NIKIKOJOA NDAN YA DK KUMI YAKOO KWIKIW
 
Kwani kuna sehemu inamtaka mtanzania wa kawaida aende kepu vede kuangalia mpira?

Kama hauna pesa nyamaza kati ya watanzania Mil 54+ hatuwezi kukosa watanzania 200+ wa kwenda kwa gharama hizo.

Sio kila kitu kipo kwa ajili ya wote kuna sehemu watanzania wanyonge hawapaswi kufika.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…