Msakila KABENDE
JF-Expert Member
- Dec 28, 2017
- 510
- 314
Ndani ya CCM ni tshs 100,000/= (fomu) na kiasi kingine cha kuchangia shughuli za uteuzi ambacho hutofautiana kutoka jimbo kwenda jimbo jingine - mathalani kwa jimbo la Buyungu mchango unafika tshs 900,000/= (jumla zinakuwa tshs 1,000,000/=)
Hata hivyo chini ya uongozi wa sasa wa wasomi huenda zikaondolewa au kupunguzwa
Hata hivyo chini ya uongozi wa sasa wa wasomi huenda zikaondolewa au kupunguzwa