Gharama za fundi kupiga plasta jengo zima la vyumba vitano

mdoehaji

New Member
Joined
Nov 26, 2007
Posts
3
Reaction score
1
Salamu Wakuu:

Nahitaji kujielimisha kuhusu gharama za kupiga plasta ile wanasema ni ya kisasa ikiwa ni mchanganyiko wa Cement + Sand + Gypsum. Hii wanasema ndio bora na inakusugua kwingi.

Tuchukulie kuwa jengo lina vyumba vya kulala vinne alafu na sebule. Pia ukuta umefika hadi meter tatu (high ceiling) na eneo la sakafu la nyumba ni square meter 250.

Jee hiyo itakuwa kiasi gani kwa makadirio tu. Yaani kiwango cha chini alafu cha juu (Labor Cost Price Range)

Hapa naongelea Labor charge ya mafundi. Au Nguvu Kazi.

Ahsanteni

Mdoe Haji
 
Milioni 4 mkuu
 
hata mafundi wa mil 1.5 wanapatikana...ni ngumu kukadiria...maana kila fundi ana kiwango tofauti cha faida anayoitaka.....ila kwa uhakika ni kua hata milioni 1 na nusu unaweza kufanyiwa hiyo kazi.
 
Andaa takribani M. 2.5, kwa mujibu wa fundi ninayemfahamu kazi kubwa iko ndani kuliko nje ya nyumba...
 
mkuu hata laki saba ni nyingi mkuu
 
Andaa takribani M. 2.5, kwa mujibu wa fundi ninayemfahamu kazi kubwa iko ndani kuliko nje ya nyumba...
Aisee kama ndo bei unazolipaga kwenye ujenzi utakua unatumia gharama sana..pengine unajenga nyumba mbili..yako na ya fundi....jaribu kuzunguka zunguka kidogo kuuliza mafundi wengine
 
Mi ni Engineer nina mafundi wangu wanaweza kukufanyia kwa 1.5 mill tu kwa kazi bora yenye kiwango cha kuridhisha just call 0713532322 for more assistance
 
Aisee kama ndo bei unazolipaga kwenye ujenzi utakua unatumia gharama sana..pengine unajenga nyumba mbili..yako na ya fundi....jaribu kuzunguka zunguka kidogo kuuliza mafundi wengine
Si unajua tena fundi kabila moja na wife, na ushemeji humo humo. Mkuu kama vipi nipe mawasiliano ya fundi nafuu kuna kibanda kingine nataka nianze ujenzi Boko...
 
Back
Top Bottom