Gharama za gari aina ya Hummer

Mwana Range Rover Sports au Porsche Macan Turbo kuendesha mjini unachagua ipikati ya hizo mbili?

Nikilichoka gari langu la sasa natafuta kifaa cha kueleweka.

Babu angalia na 2017 Jaguar E Pace mkuu niona km itakufaa sana
 
Vip after 3 yrs of depreciation, inazingua mzee baba?
Aisee nilijionea sehemu jaguar xj 2009 baada ya hio 3 yrs aisee utabaki unaliona kwa nje lilivyo zuri lkn utalipaki home bila kupenda mkuu.

Ndani ni very luxurious lkn baada ya muda interior inaanza kuji'peel' afu magonjwa ya kiufundi yanaanza kunoga weka na mziki wa spea zake sasa.

Pumbavu sana lile gari mkuu.
 
Tatizo Umaskini wetu tu,
Hummer ina heshima zake bwana.
Kule geita kuna baadhi ya wachimba madini wenye hummer wanabebea vifurushi vya michanga wanayoenda kuchenjulia madini mkuu,teh teh

Unaikuta hummer chafuuuuu
 

Jamanii we kaka mambo
 
Hilo gari kumbe pumbafu zake kabisa!
 
Haya magari yalitengenezwa kwa matumizi ya jeshi huko Marekani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…