Gharama za gari aina ya Hummer

Gharama za gari aina ya Hummer

Mimi sijawahi miliki hata boxer tu .Nataka niongee kwa experience ndogo niliyoipata kuna jamaa angu mmoja an pikipiki mpya kainunua juzi XLR ckumbuki ni cc ngapi .
Believe ile tention ambayo hua tunaipata tunapokua hata baa tu kuna watu na vi vitz vyao huona aibu .
Kama mtoto wa kiume na Mungu Akinijalia ninatamani sana magari ya kibabe kama hayo kina range defender hummer jaguar na mengine mazuri mazuri
 
Mkuu kwani kuna gari mpya??? Kila gari inayopita bandarini pale ni used isipokuwa zinatofautiana TU viwango vya kutumika
Yani bandarini hakuna gari mpya inayopita au sijaelewa point yako?...
 
Yap, ni mshamba totally. Hio gari sikuwahi ipenda na sitakaa niipende. Hao GM walipoteza tu hela zao
Hummer production kaichukua mchina now...na niliona mahali nazani stil a concept HUMMER RHINO this concept is a beast!!..
modi_rasheed20170905070051086.jpg
 
Yu re more than hopeless... Jf is the place where anybody could be anything. But in really life everyone knows themselves. Hata ningekuwa sina pesa nsingenunua Vitz. Baiskel sijawah milik ni kwel. But umewaza kipumbavu sana. Kuwa kama bill gates hajawah milik baiskel basi atakuwa ni maskini. That kinda reasoning it is only found here in jf. Otherwise nashukuru umepata nafasi ya kuni soma threads zangu na posts zangu mbalimbal. Mimi nipo busy i wont get a chance to do that kwako. Si jambo la ajabu mtu kwenda kuangalia mwanaume wake anafanya nini but na mwanaume hawez naye enda saluni kumfuatilia mpenz wake.


Gudume anabak kuwa gudume na kila kitu chake huku JF. Wewe endelea kuchunguza watu coz muda unao. Sisi wanaume we hit and run no time to waste.
Aisee nimefuatilia Uzi tangu page 1 mpaka hapa. Nimegundua mambo mengi. Watu wanaongea kwa showoff za kijinga.
Mf GuDume hana gari hata vitz na nna hofu hata baiskeli hajawahi nunua.

Kama unabisha nenda kwenye profile yake then fuatilia mada na michango yake. Ni hopeless mzuri but kwa sababu tunatumia fake ID ana fake mpaka life
 
Umeongea vizur sana. Huwez endesha vitz ukasema una gari. Ni aibu. Bora uwe na yamaha au zile mashine za kimarekani zina cc mpaka 1500 uendeshe mtaani. Si vigari kama mikate.

Mimi sijawahi miliki hata boxer tu .Nataka niongee kwa experience ndogo niliyoipata kuna jamaa angu mmoja an pikipiki mpya kainunua juzi XLR ckumbuki ni cc ngapi .
Believe ile tention ambayo hua tunaipata tunapokua hata baa tu kuna watu na vi vitz vyao huona aibu .
Kama mtoto wa kiume na Mungu Akinijalia ninatamani sana magari ya kibabe kama hayo kina range defender hummer jaguar na mengine mazuri mazuri
 
M
Nimeisha lipia Hummer H2 ya mwaka 2006 ipo njiani inakuja So mwenye kujifanya anzijua sana Hummer afunge domo lake. au aonyeshe gari alotembelea now. Mtu huna hata Toyota Vitz unaanza kubishana hapa kuhusu Hummer Shut up. Mi naendeha GMC cc500 Nina X5 cc400 Now navuta H2 cc600. Funga domo lako pls.

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu hizo cc za bajaj
 
Hii Gari kwa hapa Bongo ndio Brand ya Uhakika!!.

Jina lake tu, Ndoa kadhaa zitakua zimeshavunjika.!!.

Utakua kama pimp mtaani.
We nunua tu.
Usijali kama ni used ama old model.

We Nunua nikupeleke ile baa yenye mademu wakali. Ili Tukasumbue..!!


Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji119] . Wee mbona hujasema kama unataka kununua?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wakuu habari,kuna jamaa anafanya biashara ya kuagiza magari,ananiambia hummer h3 inauzwa kwa milioni 70 yaani hapo gharama zote mpaka ushuru na kila KITU,Hivi hizi ni habari sahihi kweli???? Haya magari si yanauzwa milioni 300?

Sent using Jamii Forums mobile app
Kama nakuona ivi Masoud Kipanya ukiwatisha watu wasiwe na hayo magari
 
Back
Top Bottom