Gharama za gari aina ya Hummer

Gharama za gari aina ya Hummer

achana na hawa jamaa wakijiona wao maskini wanataka wote wawe maskini. mtu hujauliza kuhusu suala la mafuta na wanaanza kukupangia bajeti,
na hujaomba mtu akusaidie kukununulia mafuta wanataka wote muwe mnapishana barabaran na vile vidude wanaviita magari. kigari kile ukiendesha sana unapata kibyongo au miguu inakuwa imejikunja hivi. watu wanataka magari suala la gari kunywa mafuta ni kawaida yake. tutashangaa kama gari linataka supu au linakunywa damu. na unywaji wa mafuta huwezi kuwa ana akili timamamu ukategemea vile vi pikpik vya miguu minne vinywe sawa na gari kama hummer.

chakula anachokula farasi hakiwezi lingana ana anachokula mbuzi hata siku moja. na kazi za farasi zinafahamika haziwezi kuwa kama za mbuzi hata siku moja. nunua kitu roho inapenda hata ukiamua kununua kichwa cha scania au volvo unazunguka nacho town bila tela ni pesa yako tu. mafuta utajiwekea wewe mwenyewe kwa pesa yako wala hutaomba mchango kwa watu hawa wenye vigari vya housegirls na watoto wadogo.

Umemaliza kila kituuu,kuna mtu hapo ananilazimisha nitumie vitz eti kwasababu hummer inatumia mafuta mengii,kwani mafuta ananisaidia kununua???
 
achana a hawa jamaa wakijiona wao maskini wanataka wote wawe maskini. mtu hujauliza kuhusu suala la mafuta na wakla hujaomba mtu akusaidie kukununulia mafuta wanataka wote muwe mnapishana barabaran na vile vidude wanaviita magari. kigari kile ukiendesha sana unapata kibyongo au miguu inakuwa imejikunja hivi. watu wanataka magari suala la gari kunywa mafuta ni kawaida yake. tutashangaa kama gari linataka supu au linakunywa damu. na unywaji wa mafuta huwezi kuwa ana akili timamamu ukategemea vile vi pikpik vya miguu minne vinywe sawa na gari kama hummer.

chakula anachokula farasi hakiwezi lingana ana anachokula mbuzi hata siku moja. na kazi za farasi zinafahamika haziwezi kuwa kama za mbuzi hata siku moja. nunua kitu roho inapenda hata ukiamua kununua kichwa cha scania au volvo unazunguka nacho town bila tela ni pesa yako tu. mafuta utajiwekea wewe mwenyewe kwa pesa yako wala hutaomba mchango kwa watu hawa wenye vigari vya housegirls na watoto wadogo.
Damn right[emoji106] [emoji106]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ukiona mtu anaponda hummer jua kazoea magar ya japan yaliyorembwa rembwa.Hummer gar ya kiume.na ndo gari nzuri zakimarekani kwa wanaume wa shoka.GM wana magari bana,angalia vitu kama GMC,chevololet,escaled,cadillac.Kuna hii kitu GMC terrain ni shida.
Yeah umesema kweli Kabisa.!! Sikuzote Gari nzuri lazima iwe na muonekano wa Kiume(Manly looks/masculine)
Hii ni challenge kwa wanao design Bodies za magari duniani.
Wachina wana magari yamekaa kike sana. they are are not attractive..
USA wako vizuri tangu zamani.
No doubt, hammer imekaa kiume kwelikweli.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Habari za uchafuzi wa mazingira ni mbele huko si huku tunatwanga ma v8,v10 hata v12 ikikaa sawa ni mbele kwa mbele.

In white-collar crime, there are ink stains instead of bloodstains.
Unaruhusiwa hata kunywa sumu ya panya.

Ushajaribu?

Sent from my Kimulimuli
 
Where the ink stains, the blood is oozing. You can't see it after you sign it.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unaruhusiwa hata kunywa sumu ya panya.

Ushajaribu?

Sent from my Kimulimuli
Huku kasoro wafiraji/wafirwaji ndio hawaruhusiwi.

In white-collar crime, there are ink stains instead of bloodstains.
 
HIZI NI GARI ZETU ZA KIBABE...UKIINGIA MJINI WANAJUA UMEEINGIA. ZILE ZA JAPAN TUNAWAACHIA WAKE ZETU.

Yeah umesema kweli Kabisa.!! Sikuzote Gari nzuri lazima iwe na muonekano wa Kiume(Manly looks/masculine)
Hii ni challenge kwa wanao design Bodies za magari duniani.
Wachina wana magari yamekaa kike sana. they are are not attractive..
USA wako vizuri tangu zamani.
No doubt, hammer imekaa kiume kwelikweli.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
We umeshainywa?

In white-collar crime, there are ink stains instead of bloodstains.
Wewe ndiye unapenda sumu, kwa nini uniulize mimi kama nimeinywa?

Unaelewa unachoandika humu?

Sent from my Kimulimuli
 
HIZI NI GARI ZETU ZA KIBABE...UKIINGIA MJINI WANAJUA UMEEINGIA. ZILE ZA JAPAN TUNAWAACHIA WAKE ZETU.
Kuna jamaa analo Hapo Arusha,hua akijaa nalo bar hakuna mtu anakumbuka eti lina sura mbaya sijui nini kila mtu analikubali mbaya kabisaa.

Akilipark next to vitz na vigari vingine vya wajapan,hao wamiliki wa hivyo vigari hua wanaona noma kwenda kuvitoa parking muda wa kusepa wanahisi kama wanachoreka hatari.

In white-collar crime, there are ink stains instead of bloodstains.
 
Wewe ndiye unapenda sumu, kwa nini uniulize mimi kama nimeinywa?

Unaelewa unachoandika humu?

Sent from my Kimulimuli
We acha kuharibu mada.

Inshu hapa ni hummer,kama we umekomaa na vitz kimpango wako.

Sumu anzishia thread ya tofauti tutachangia.

In white-collar crime, there are ink stains instead of bloodstains.
 
We acha kuharibu mada.

Inshu hapa ni hummer,kama we umekomaa na vitz kimpango wako.

Sumu anzishia thread ya tofauti tutachangia.

In white-collar crime, there are ink stains instead of bloodstains.
Tatizo we limbukeni mshamba hujui issue from inshu.

Ndiyo maana unashobokea Hummer leo kama video girl wa video ya Jodeci.

Wewe limbukeni. Ukilimbuka na Hummer leo sishangai.

Sent from my Kimulimuli
 
ukiwa na akili timamu jamaa akipark hummer sehemu halafu we umepark vitz huwezi kwenda ondoka na vitz yako mpaka jamaa wa hummer aondoke kwanza. maana ni aibu sana. at least uwe nawe umepark v8,prado ,au gari za namna hiyo. siyo vitz na toyota ti,au si, au raum n.k ni kuaibishana sana. lile ni li gari na wanaume huwa tunapenda kutumia magari kama yale kuingilia sehemu za watu wengi. ni magari ya kibabe hata wa daladala huwa wanakuwa makini sana wanapokuona una gari kama lile au range rover, cruiser v8 n.k huwa wanziogopa sana zile gari. kwanza wanajua mle ndani hukosi mguu wa kuku na mazaga zaga mengine. pili wanajua hata kukulipa rangi yake wakichubua ni msala sana. hata mabosi huwa wanawaambia jiangalie msigonge hummer au range rover sports. vitz hazina shida.

Kuna jamaa analo Hapo Arusha,hua akijaa nalo bar hakuna mtu anakumbuka eti lina sura mbaya sijui nini kila mtu analikubali mbaya kabisaa.

Akilipark next to vitz na vigari vingine vya wajapan,hao wamiliki wa hivyo vigari hua wanaona noma kwenda kuvitoa parking muda wa kusepa wanahisi kama wanachoreka hatari.

In white-collar crime, there are ink stains instead of bloodstains.
 
Tatizo we limbukeni mshamba hujui issue from inshu.

Ndiyo maana unashobokea Hummer leo kama video girl wa video ya Jodeci.

Wewe limbukeni. Ukilimbuka na Hummer leo sishangai.

Sent from my Kimulimuli
Sawa mtoto mzuri nenda kanyonyeshwe koni kwenye vitz basi ufurahi.

In white-collar crime, there are ink stains instead of bloodstains.
 
Hizi gari zilikuwa zamani ukiskia Hammer unatoka nje kuitazama.... Hammar inakula mafuta, kama huna shell nyumban kwako ongeza ununue Prado Cruser
Untitled-184.jpg
2006_hummer_h3_4dr-suv_base_d_oem_1_500.jpg
maxresdefault.jpg
hummer-limo-rental-new-1.jpg
hummer-white-h2.jpg
Hummer-H2-21.jpg
hummer-h2-stretch-limo-colony-limo-02.jpg

Tatizo wabongo gari unakua nalo moja tu, ukiwa nazo hata 5 kila moja na mtoko wake. Sasa wewe ukiwa na gari moja tu huwezi nunua hama
 
ukiwa na akili timamu jamaa akipark hummer sehemu halafu we umepark vitz huwezi kwenda ondoka na vitz yako mpaka jamaa wa hummer aondoke kwanza. maana ni aibu sana. at least uwe nawe umepark v8,prado ,au gari za namna hiyo. siyo vitz na toyota ti,au si, au raum n.k ni kuaibishana sana. lile ni li gari na wanaume huwa tunapenda kutumia magari kama yale kuingilia sehemu za watu wengi. ni magari ya kibabe hata wa daladala huwa wanakuwa makini sana wanapokuona una gari kama lile au range rover, cruiser v8 n.k huwa wanziogopa sana zile gari. kwanza wanajua mle ndani hukosi mguu wa kuku na mazaga zaga mengine. pili wanajua hata kukulipa rangi yake wakichubua ni msala sana. hata mabosi huwa wanawaambia jiangalie msigonge hummer au range rover sports. vitz hazina shida.
Hahah aisee wala sio uongo.Wajomba wenye hummer hapa mjini wanatisha.Kibongo bongo bado hatujafikia level za kusema eti ile gari sijui mbaya,eti inachafua mazingira mara inakunywa mafuta sana.Ni umasikini tu unasumbua watu la sivyo wengi tu wangependa walimiliki.

Lile gari akiwa anaendesha mwanamke hata confidence ya wanaume kumshobokea shobokea hua inaisha.Ni hela tu inazingua,ningemnunulia mke wangu hilo dude najua hakuna wa kumsogelea tangu anaondoka asubuhi mpk anarudi jioni home.

Back
Top Bottom