GuDume
JF-Expert Member
- Jan 18, 2015
- 6,651
- 14,337
achana na hawa jamaa wakijiona wao maskini wanataka wote wawe maskini. mtu hujauliza kuhusu suala la mafuta na wanaanza kukupangia bajeti,
na hujaomba mtu akusaidie kukununulia mafuta wanataka wote muwe mnapishana barabaran na vile vidude wanaviita magari. kigari kile ukiendesha sana unapata kibyongo au miguu inakuwa imejikunja hivi. watu wanataka magari suala la gari kunywa mafuta ni kawaida yake. tutashangaa kama gari linataka supu au linakunywa damu. na unywaji wa mafuta huwezi kuwa ana akili timamamu ukategemea vile vi pikpik vya miguu minne vinywe sawa na gari kama hummer.
chakula anachokula farasi hakiwezi lingana ana anachokula mbuzi hata siku moja. na kazi za farasi zinafahamika haziwezi kuwa kama za mbuzi hata siku moja. nunua kitu roho inapenda hata ukiamua kununua kichwa cha scania au volvo unazunguka nacho town bila tela ni pesa yako tu. mafuta utajiwekea wewe mwenyewe kwa pesa yako wala hutaomba mchango kwa watu hawa wenye vigari vya housegirls na watoto wadogo.

Umemaliza kila kituuu,kuna mtu hapo ananilazimisha nitumie vitz eti kwasababu hummer inatumia mafuta mengii,kwani mafuta ananisaidia kununua???