Gharama za gari aina ya Hummer

Gharama za gari aina ya Hummer

Hummer, gari zilizokuwa over rated, wasabii wa USA wakizipigia promo kwenye nyimbo zao zipate kuonekana ni icon. Lakini ukweli utabaki kuwa ukweli tu, the shittiest SUV of all. Gari lenyewe lipo insecured, kila sehemu limeandikwa Hummer, front, side mirrors, side steps, nyuma, usukani, viti, kila kona Hummer. The look is terrible, the engine ni matatizo tu kwa mafuta, fuel consumption haiendani na matumuzi, nit efficient at all and its no longer in production kama sikosei, hio ni GM failure. Interior nothing is luxury as the price tag will make you believe. Kama unazo izo 80 million katafute mnyama talk if the world, RANGE ROVER sports tu, nakwambia hii ndio SUV kiboko yao (ukitoa Vogue)
Ebu weka picha yake tuione

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Na hio Rangie labda achukue model ya nyuma, ukali wa 2013 kuja huku haitoshi hio hela. Labda amuotee mtu kalishindwa!
 
Hummer nimagarifulani yamepitwa na wakati.Ukimuona mtu anaendesha Hummer mjini kwa sasa ujue huyo limbukeni.
Yap, ni mshamba totally. Hio gari sikuwahi ipenda na sitakaa niipende. Hao GM walipoteza tu hela zao
 
Hummer, gari zilizokuwa over rated, wasabii wa USA wakizipigia promo kwenye nyimbo zao zipate kuonekana ni icon. Lakini ukweli utabaki kuwa ukweli tu, the shittiest SUV of all. Gari lenyewe lipo insecured, kila sehemu limeandikwa Hummer, front, side mirrors, side steps, nyuma, usukani, viti, kila kona Hummer. The look is terrible, the engine ni matatizo tu kwa mafuta, fuel consumption haiendani na matumuzi, nit efficient at all and its no longer in production kama sikosei, hio ni GM failure. Interior nothing is luxury as the price tag will make you believe. Kama unazo izo 80 million katafute mnyama talk if the world, RANGE ROVER sports tu, nakwambia hii ndio SUV kiboko yao (ukitoa Vogue)
Mwana Range Rover Sports au Porsche Macan Turbo kuendesha mjini unachagua ipikati ya hizo mbili?

Nikilichoka gari langu la sasa natafuta kifaa cha kueleweka.
 
Extrovert hapo nimekusoma mkuu, nimeona serikali inaagza hayo magari siku hz. Ni bonge la gari..
Serikali si wanakamua tu cash, nadhani wanapigwa 200 kila moja, ila kwa msela kama wewe ni 150 inatosha mpaka unatembelea road bila kokoro yyt na maafande
 
Mwana Range Rover Sports au Porsche Macan Turbo kuendesha mjini unachagua ipikati ya hizo mbili?

Nikilichoka gari langu la sasa natafuta kifaa cha kueleweka.
Kitu Sports utaheshimika mkuu mana kipo too luxurious ndani. Yaani nnachowapendea majamaa designing team yao wanajua
 
Na hio Rangie labda achukue model ya nyuma, ukali wa 2013 kuja huku haitoshi hio hela. Labda amuotee mtu kalishindwa!
Unaweza ukapata mtu lilomshinda. Si unajua kuna wengine wavabaji. Mtu ana range sport anatia mafuta ya buku 10. Au kuna wengine hawawezi maintainance cost. Kanunua range alijua cost ya kumaintain ni sawa na kumaintain mark 2 grande
 
Hahahah hio Range ikijambisha kidogo tu ni mil.3 inatakiwa, hapo ndipo utapoelewa kwanini kunguru ni ndege mwenye rangi ya kishujaa ila muoga!
 
Ilo jini dar Moro tu unaingia sheli mara mbili tena full tank

sent from my iPhone 7 nimeinunua SAPNA pale Posta mtaa SAMORA
 
😀 😀 😀 yaani mtu uwe umejiapnaga kisawasawa kumiliki haya magari.
 
Back
Top Bottom