Gharama za gesti za bei nafuu Newala na Masasi

Bodaboda anaweza kukupeleka mahali ambapo siyo nafuu sana kwani huwa wanalipwa kamishen akimpeleka mteja.
Upo wa kutosha, tunza nyeti zako kwa usalama wako.

Ukibahatika kukosa UKIMWI utapaka U.T.I, gono na kaswende sugu.
 
Kwa Newala, nyuma ya Halmashauri pale ipo ya 20k kwa siku,
Masasi zipo nyingi Mkuu, ukitoka stand njia ya kwenda Newala Kuna Moja matata sana bei ni 15k
Asante sana kaka nitakuja kutembea na Masasi pia
 
Inategemea location, unaweza pata ya 30k hadi 150k.
Asante sana kaka hiyo ya 30 itanifaa as long as unasema kuna usalama. Najua watu hawawezi kuiba computer na podcast kit.
 
Upo wa kutosha, tunza nyeti zako kwa usalama wako.

Ukibahatika kukosa UKIMWI utapaka U.T.I, gono na kaswende sugu.
Asante sana mkuu kwa taarifa inabidi nichukue tahadhari. No sex without condom lakini pia kupima kwanza kabla ya mahusiano ili hata unatumia kinga ujue unatumia kinga na mtu ambae afya yake ipo stable coz nasikia huko mpaka vitoto vidogo vimecharuka
 
Wakuu kwema za asubuhi ? Ndio tunaondoka hapa Mbagala kuelelekea Newala dua zenu. Nitawapa mrejesho nikifika huko na nitakacho experience
 
Karibu sana mkuu mimi pia narejea tena Newala nilikuwa Mtwara sasa hivi narejea tena Newala
 
Daah Masasi au Newala ukiwa unauliza gesti za bei nafuu wakati miji yenyewe ni ya bei nafuu ukienda Chugastani itakuaje?
 
Daah Masasi au Newala ukiwa unauliza gesti za bei nafuu wakati miji yenyewe ni ya bei nafuu ukienda Chugastani itakuaje?
As a sane man u have to learn how to minimize cost by any means necessary. Hakunaga tuzo ya kukaa kwenye lodge ya bei ya juu.

Mwanaume asifiwi kukaa kwenye gesti ya bei ya juu wala kupanga kwenye nyumba nzuri. Sifa ya mwanaume ni kujenga nyumba nzuri sio kupanga kwenye lodge au nyumba nzuri
 
Daah haya maneno meengi wanaume hatuna endelea kuuliza Lodge ya bei nafuu Namtumbo mkuu...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…