top kibobo
JF-Expert Member
- Feb 11, 2013
- 203
- 107
Kwa kudanganya unaweza ipata lakini Passport anapewa mtanzania yeyote aliekidhi vigezo na anayetaka kusafiri nje ya nchi.iv naweza kupata passport hata kama sina safari? , lengo kuna online registration zinataka uwe na passport ndo upate huduma iliyo advanced zaidi...
Huko ndiko chimbuko la Ulinzi na Usalama wetu usiwaogope watendaji na msijifunze short cuts ni mbaya sana. Ukipenda mtelezo hutakuwa balozi mzuri wa huduma uliyoipata Kwa wengineKilo 3 ukiwapa wazee wa deal wanakuletea nyumbani kabisa
Ukitaka process ni miezi mi3 jiandae sana kuonana na makatibu kata wazee wa serikali za mitaa kila
ok so madhara ya kudanganya huko mbeleni?Kwa kudanganya unaweza ipata lakini Passport anapewa mtanzania yeyote aliekidhi vigezo na anayetaka kusafiri nje ya nchi.
Asante lkn hakukuwa na sababu ya kutukana. Mbona watu wamestaarabika siku hizi?Rushwa wapi we kima. Fika ofisin ukaulize gharama zinapandaje.
Mwendazake alikuwa anahitaji fedha kwenye kila kitu... Zilikuwa elfu 50... Ghafla tu ikawa laki na nusu.Nilikua napitia kwenye tovuti ya serikali, nimeona yenye gharama kubwa ni sh 50,000.
Kwanini wameweka geresha?[emoji23][emoji23][emoji23]
Wahuni sana hawa watu
Ulifanyaje Kak unaweza nisaidiaHizi passport zingetakiwa ikizidi sana bei isizidi 50000.
Kwa maana ni wajibu wa kila Raia kuwa nazo pasipo kufuata mlolongo mrefu kwa kiwango hiki.
Nakumbuka nilitumia muda mwingi sana kupata passport.
Ulitumia njia ganiMimi nilitumia siku moja tu kupata passport ila nilitoa asante ya sh 50,000
Njia yake hiyo kwenye sentensi ya mwishoUlitumia njia gani
Wewe si Mtanzania? Una sababu ya kusafiri? Basi jaza form online, lipia 20 then peleka form yako uhamiaji. Ukijiwekea mazingira ya kutoa rushwa basi jiandae kupigwa hela wakati gharama ni 150k plus gharama za mhuri wa mwanasheria.Ulifanyaje Kak unaweza nisaidia
Kuna jamaa yangu namjua pale Uhamiaji kurasini aliniweka kwenye kundi la haraka la wanaoenda nje kutibiwaUlitumia njia gani
Oya,ni mda,ila unaweza nisaidia namba ya jamaa yako Kama bado anafanya kazi hapo?Kuna jamaa yangu namjua pale Uhamiaji kurasini aliniweka kwenye kundi la haraka la wanaoenda nje kutibiwa
View attachment 2783803
Habari. Napenda kuwakaribia Bryte Sky Links.
Tunatoa huduma za:
• Web Designing. • Logo, Banners, Poster Designs. • Social Media Advertisements. •Business name & Company Registration. • Flight Reservations and Bookings. •Passport Applications. •Visa Applications and Appointments. •Study Abroad Programs.(Scholarships included). •Computer Maintenance & Repair..
Tunapatikana Bagamoyo Road, Tanki Bovu, Mbezi Beach, Jengo la “Mbezi Park”.
Karibuni sana wadau.
Whatsapp +255787308831
Endelea na utapeli wako
Endelea na utapeli wako