Gharama za hati ya kusafiria (passport) zipoje?

Gharama za hati ya kusafiria (passport) zipoje?

iv naweza kupata passport hata kama sina safari? , lengo kuna online registration zinataka uwe na passport ndo upate huduma iliyo advanced zaidi...
Kwa kudanganya unaweza ipata lakini Passport anapewa mtanzania yeyote aliekidhi vigezo na anayetaka kusafiri nje ya nchi.
 
Kilo 3 ukiwapa wazee wa deal wanakuletea nyumbani kabisa
Ukitaka process ni miezi mi3 jiandae sana kuonana na makatibu kata wazee wa serikali za mitaa kila
Huko ndiko chimbuko la Ulinzi na Usalama wetu usiwaogope watendaji na msijifunze short cuts ni mbaya sana. Ukipenda mtelezo hutakuwa balozi mzuri wa huduma uliyoipata Kwa wengine
 
Kwa kudanganya unaweza ipata lakini Passport anapewa mtanzania yeyote aliekidhi vigezo na anayetaka kusafiri nje ya nchi.
ok so madhara ya kudanganya huko mbeleni?
je, nikiwaambia ukweli inamana sitapewa passport kwa kuwa sina safari yoyote?
 
Nilikua napitia kwenye tovuti ya serikali, nimeona yenye gharama kubwa ni sh 50,000.

Kwanini wameweka geresha?[emoji23][emoji23][emoji23]

Wahuni sana hawa watu
Mwendazake alikuwa anahitaji fedha kwenye kila kitu... Zilikuwa elfu 50... Ghafla tu ikawa laki na nusu.
Na bado unapewa huduma kibabe!
 
Hizi passport zingetakiwa ikizidi sana bei isizidi 50000.

Kwa maana ni wajibu wa kila Raia kuwa nazo pasipo kufuata mlolongo mrefu kwa kiwango hiki.

Nakumbuka nilitumia muda mwingi sana kupata passport.
Ulifanyaje Kak unaweza nisaidia
 
Ulifanyaje Kak unaweza nisaidia
Wewe si Mtanzania? Una sababu ya kusafiri? Basi jaza form online, lipia 20 then peleka form yako uhamiaji. Ukijiwekea mazingira ya kutoa rushwa basi jiandae kupigwa hela wakati gharama ni 150k plus gharama za mhuri wa mwanasheria.
 
IMG_0504.jpg

Habari. Napenda kuwakaribia Bryte Sky Links.
Tunatoa huduma za:
• Web Designing. • Logo, Banners, Poster Designs. • Social Media Advertisements. •Business name & Company Registration. • Flight Reservations and Bookings. •Passport Applications. •Visa Applications and Appointments. •Study Abroad Programs.(Scholarships included). •Computer Maintenance & Repair..

Tunapatikana Bagamoyo Road, Tanki Bovu, Mbezi Beach, Jengo la “Mbezi Park”.
Karibuni sana wadau.
Whatsapp +255787308831
 
Endelea na utapeli wako
View attachment 2783803

Back
Top Bottom