Gharama za Hotel / Lodges kwa Lusaka, Kitwe na Ndola

newazz

JF-Expert Member
Joined
Mar 28, 2009
Posts
904
Reaction score
907
Wakuu JF , nategemea kufanya safari ya kikazi kutembelea maeneo ya Lusaka, Ndola na Kitwe.

Naomba kufahamisha masuala anuai juu ya safari kwa maeneo hayo.

Kufuatana na uzoefu binafsi.


Hotel/ Lodges za kufikia kwenye miji hiyo- budget around Usd 60- 80

Usafiri wa Taxi Lusaka - Town trip ni kwacha ngapi

Usafiri wa rental car- Kwa siku au kwa kilometa.. Niwapo miji ya Ndola, Kitwe nk.

Hali ya usalama ikoje kwa ujumla , kufuatana na hotel au lodge , Lusaka, Ndola, Kitwe.

Ninaweza kupata msaada wa guide mtanzania au anayeongea kiswahili anayeaminika kwa ajili ya kufanikisha safari.

Balozi yetu Lusaka wanaweza kusaidia , mfano utambulisho ..

Mwenye details naomba anisaidie, natanguliza shukrani
 
Kitwe sehemu za nkana east au kemmbi Kuna lodge nzuri na salama ngoja nita confirm na mtu huko kuhusu bei ya sasa iko vp then ntaku pm
 
Asante @ Mrangi..

Nasubiria update yako.

Ina maana humu JF watu hawapiti pande hizo ? au Watu wako bize na siasa za sasa :yo:
 
Tahadhari ndugu usisafiri kwa bus sikuhizi Machinjachinja!!!
 
Hapana itakuwa air flight.

Touch down itakuwa Lusaka , halafu nitaunganisha tena hadi Ndola.

Ndio maana ninataka dondoo za sehemu za kufikia sehemu hizo. Naweza cheki kwa mtandao , lakini ukipata live update inakuwa bora zaidi.

Nasubiri wadau zaidi. Siamini ukumbi huu watu hawajapita pande hizo kabisaaaa.
 

Kwa Lusaka naweza kukusaidia, kwanza ujue kua huduma za malazi Lusaka ziko juu kwa mfano chumba kizuri huanzia 200k ni kama 55000 hivi, na taxi mara nyingi ton trip ni 30k mpaka 40k. Kama utahitaji maelezo mengine karibu
 
Kuhusu guide kama unajua kingereza ningekupa namba za madereva taxi waminifu wangekusadia
 

Mkuu garama niliyoambiwa haipishani na .. Mibas ila nachofahamu Zambia Ktk pita pita yangu huko mahitaji ni garama, mfano kipindi cha nyuma nlikua naendaga sana ilikuwa nikiwa na 300,000 tsh napata milion 1 Zambia money niambie sasa huko kwenye matumizi ilikuwa balaa mkuu mpaka Kuna wakati nikawa naenda Kuka sehemu moja iko kitwe inaitwa musenga ni kama unaelekea chingola yote ilikuwa kukwepa garama.
Nakushauri upate pia mwenyeji ukae kwake kwa muda ukatayo kuwepo huko
 
Last edited by a moderator:
Nilitembelea Miji hiyo hapo juu.

Atakayekuwa na uhitaji kama niliokuwa nao wa kujua masuala ya malazi , awasiliane nami.
 
Nilitembelea Miji hiyo hapo juu.

Atakayekuwa na uhitaji kama niliokuwa nao wa kujua masuala ya malazi , awasiliane nami.

Mwaga hayo maelezo ndugu...malazi, chakula, tax nk coz nategemea kwenda next week.
Natanguliza shukrani.
 
Kitwe nenda SHERBONE papo vizuri. Ndola nenda FATMOLS. Lusaka pia unaweza watafuta FATMOLS.
 
Kama unataka kubana matumizi kuna kahoteli kamoja kanaitwa Mabvuto Inn kako mkabala na Uwanja wa Independence sehemu inaitwa Mandevu, jijini Lusaka. Hii ni guest house, baa na hoteli. Ni Uswahilini lakini kuna usalama na ni karibu sana na mjini.
 
Kama unataka kubana matumizi kuna kahoteli kamoja kanaitwa Mabvuto Inn kako mkabala na Uwanja wa Independence sehemu inaitwa Mandevu, jijini Lusaka. Hii ni guest house, baa na hoteli. Ni Uswahilini lakini kuna usalama na ni karibu sana na mjini.

Mkuu, thread ya mwaka jana hii lakini muhimu, bei yake kiasi gani kwa pesa ya bongo, natarajia kwenda huko hivi karibuni
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…