Wakuu JF , nategemea kufanya safari ya kikazi kutembelea maeneo ya Lusaka, Ndola na Kitwe.
Naomba kufahamisha masuala anuai juu ya safari kwa maeneo hayo.
Kufuatana na uzoefu binafsi.
Hotel/ Lodges za kufikia kwenye miji hiyo- budget around Usd 60- 80
Usafiri wa Taxi Lusaka - Town trip ni kwacha ngapi
Usafiri wa rental car- Kwa siku au kwa kilometa.. Niwapo miji ya Ndola, Kitwe nk.
Hali ya usalama ikoje kwa ujumla , kufuatana na hotel au lodge , Lusaka, Ndola, Kitwe.
Ninaweza kupata msaada wa guide mtanzania au anayeongea kiswahili anayeaminika kwa ajili ya kufanikisha safari.
Balozi yetu Lusaka wanaweza kusaidia , mfano utambulisho ..
Mwenye details naomba anisaidie, natanguliza shukrani