sekhal
Member
- Jul 21, 2016
- 44
- 37
Habari zenu wana JF,
Kuna huu mfumo binafsi siuelewi na sielew alieanzisha alikua na maana ipi.
Taasisi kubwa kama utumishi na baadhi ya taasisi za umma na binafsi, pindi wanapotoa tangazo la nafasi za Kazi wanakuambia uambatanishe current certified copies, cha kushangaza siku ya interview wanakuambia uwe na vyeti original.
Jambo hili binafsi huwa linaniumiza sana hasa ukizingatia gharama za kupata hyo mihuri kutoka kwa mawakili/ wanasheria ni kubwa mno mbaya zaid unaweza tumia gharama zote hzo na interview usiitwe
Yan unagharamia takriban 20k kutuma ombi la kazi sehemu, watu wanapata madeni kisa hela ya kucertify vyeti!
Ushauri: Ni wakati sasa kwa taasisi kubadilika na kuacha kuwapa gharama zisizo kuwa lazma waombaji wa nafasi za kazi, maana kama mtu atafanikiwa kupata interview ataleta vyeti halisi (hakuna haja ya ku-certify kwa wanasheria.)
Jambo lingne hizi fedha tunazotoa mahakani ili nakala zetu zipigwe muhuri huwa zinaenda kwenye mfuko wa nani (Serikali / wakili) ?. Na serikali inafahamu yanayoendelea kuwa huwa tunatozwa sh 3k - 5k kwa cheti?