Gharama za ku-certify vyeti mahakamani, fedha inaenda wapi?

Habari zenu wana JF,

Kuna huu mfumo binafsi siuelewi na sielew alieanzisha alikua na maana ipi.

Taasisi kubwa kama utumishi na baadhi ya taasisi za umma na binafsi, pindi wanapotoa tangazo la nafasi za Kazi wanakuambia uambatanishe current certified copies, cha kushangaza siku ya interview wanakuambia uwe na vyeti original.

Jambo hili binafsi huwa linaniumiza sana hasa ukizingatia gharama za kupata hyo mihuri kutoka kwa mawakili/ wanasheria ni kubwa mno mbaya zaid unaweza tumia gharama zote hzo na interview usiitwe

Yan unagharamia takriban 20k kutuma ombi la kazi sehemu, watu wanapata madeni kisa hela ya kucertify vyeti!

Ushauri: Ni wakati sasa kwa taasisi kubadilika na kuacha kuwapa gharama zisizo kuwa lazma waombaji wa nafasi za kazi, maana kama mtu atafanikiwa kupata interview ataleta vyeti halisi (hakuna haja ya ku-certify kwa wanasheria.)

Jambo lingne hizi fedha tunazotoa mahakani ili nakala zetu zipigwe muhuri huwa zinaenda kwenye mfuko wa nani (Serikali / wakili) ?. Na serikali inafahamu yanayoendelea kuwa huwa tunatozwa sh 3k - 5k kwa cheti?
Ulaji
 
Nilishaenda kugonga mihuri nikapitia mapokezi jamaa akaniambia 20k..nikamwambia huu utaratibu umeanza lini akaniambia mda mrefu...nikamwambia nina 5k tu na hio natoa tu kuepusha usumbufu akawa anakaza...nikatoka nje kama napiga simu baada ya dk kama 5 nikarudi ndani nikamwambia kwahio mkubwa wako hawezi kukubali 5k akasema ndio...nikamwambia ok naomba niongee nae nimuombe naimani atanikubalia....akawa anasita...nikamwambia haina shida nitaongea nae ondoa wasiwasi ....akaingia kwa mkubwa wake then akatoka akaniambia ingia...nikazama ndani kufika akaniuliza unashida gani nikamwambia nimekuja ku certify vyeti mapokezi wameniambia niingie hapa( sikuongea ishu ya hela kwa mkubwa bse angenijia juu labda nataka nimkamatishe).....akaniambia utaratibu haupo hivyo unakabidhi vyeti hapo nje mapokezi ndio wanavileta....mkubwa akamuita mtu wake akamuuliza tena huyu anashida gani....jamaa akaropoka alisema hana 20k na anataka ku certify vyeti mkubwa akamuuliza ana sh ngapi jamaa akajibu 5k mkubwa akasema msaidieni...mkubwa wao hakupenda kikichotokea pale bse alikuwa exposed na ilikuwa sio sawa yeye kama mtumishi....alinigongea mhuru..nilivyotoka nilimuacha jamaa kwa mbali kwenye kioo nikiwa naona jamaa anafokewa tu.[emoji16][emoji1787]
mm mahakamani sitoi zaidi ya 5k wakikaza napiga simu then narudi ndani lazima waikubali tu..nahii 5k natoa tu wasinikalishe sana
 
Nilishaenda kugonga mihuri nikapitia mapokezi jamaa akaniambia 20k..nikamwambia huu utaratibu umeanza lini akaniambia mda mrefu...nikamwambian nina 5k tu na hio natoa tu kuepusha usumbufu akawa anakaza...nikatoka nje kama napiga simu baada ya dk kama 5 nikarudi ndani nikamwambia kwahio mkubwa wako hawezi kukubali 5k akasema ndio...nikamwambia ok naomba nikngee nae nimuombe naimani atanikubalia....akawa anasita...nikamwambia haina shida nitaongea nae ondoa wasiwasi ....akaingia kwa mkubwa wake then akatoka akaniambia ingia...nikazama ndani kufika akaniuliza unashida gani nikamwambia nimekuja ku certify vyeti mapokezi wameniambia niingie hapa.....akaniambia utaratibu haupo hivyo unakabidhi vyeti hapo nje mapokezi ndio wanavileta....mkubwa akamuita mtu wake akamuuliza tena huyu anashida gani....jamaa akaropoka alisema hana 20k na anataka ku certify vyeti mkubwa akamuuliza ana sh ngapi jamaa akajibu 5k mkubwa akasema msaidieni...mkubwa wao hakupenda kikichotokea pale bse alikuwa exposed na ilikuwa sio sawa yeye kama mtumishi....alinigongea mhuru..nilivyotoka nilimuacha jamaa kwa mbali kwenye kioo nikiwa naona jamaa anafokewa tu.[emoji16][emoji1787]
mm mahakamani sitpi zaidi ya 5k wakikaza napiga simu then narudi ndani lazima waikubali tu..nahii 5k natoa tu wasikalishe sana
5k hata mm ndio ulikuwa mwendo wangu ....🤣😂
 
Mkuu hata kwenye issue ya affidavit form ni the same
Daah hii ndio usiseme bro, niliwahi kuambiwa nitoe elfu 13 kwa ajili ya hii kitu aise halafu walivyo waajabu wakaandika ya kiswahili. Na mara nyng haya madili huwa wanapiga na watu wa stationary
 
Mimi nilikuwa nagongaga bure, nikimkuta nisie mfahamu namwambia kabisa nina 5k ya motisha akinisumbua namwambia anipe na EFD risiti kabisa.
Yan mahakaman hili jambo huwa n upigaji ulio wazi kabisa
 
Mzee hio hela ni rushwa wengine huwa hawataki hata uwape mkononi..wanakwambia itumbukize kwenye bahasha., kwamimi ninavyojua hio huduma ni bure tofauiti na hivyo basi serikali ndio inaibiwa..watu hutoa hio 5k kuepusha usumbufu tu.
Usipotoa utasubirishwa siku nzma
 
Nilishaenda kugonga mihuri nikapitia mapokezi jamaa akaniambia 20k..nikamwambia huu utaratibu umeanza lini akaniambia mda mrefu...nikamwambia nina 5k tu na hio natoa tu kuepusha usumbufu akawa anakaza...nikatoka nje kama napiga simu baada ya dk kama 5 nikarudi ndani nikamwambia kwahio mkubwa wako hawezi kukubali 5k akasema ndio...nikamwambia ok naomba niongee nae nimuombe naimani atanikubalia....akawa anasita...nikamwambia haina shida nitaongea nae ondoa wasiwasi ....akaingia kwa mkubwa wake then akatoka akaniambia ingia...nikazama ndani kufika akaniuliza unashida gani nikamwambia nimekuja ku certify vyeti mapokezi wameniambia niingie hapa( sikuongea ishu ya hela kwa mkubwa bse angenijia juu labda nataka nimkamatishe).....akaniambia utaratibu haupo hivyo unakabidhi vyeti hapo nje mapokezi ndio wanavileta....mkubwa akamuita mtu wake akamuuliza tena huyu anashida gani....jamaa akaropoka alisema hana 20k na anataka ku certify vyeti mkubwa akamuuliza ana sh ngapi jamaa akajibu 5k mkubwa akasema msaidieni...mkubwa wao hakupenda kikichotokea pale bse alikuwa exposed na ilikuwa sio sawa yeye kama mtumishi....alinigongea mhuru..nilivyotoka nilimuacha jamaa kwa mbali kwenye kioo nikiwa naona jamaa anafokewa tu.[emoji16][emoji1787]
mm mahakamani sitoi zaidi ya 5k wakikaza napiga simu then narudi ndani lazima waikubali tu..nahii 5k natoa tu wasinikalishe sana
[emoji23][emoji23] simu unampigia nan kaka
 
Back
Top Bottom