<br />kaka usijaribu biashara hiyo imeshikwa na tycoons zakaria na metl!utashangaa storage ya mzingo kubwa kuliko cost plus profit.utayakimbia makontena bandarini.hapo hapo kuna vita ya viwanda vyetu vya ndani juu ya impoters
Sijaona wachangiaji positive kama ilivyo kwenye thread nyingine. Tatizo letu watanzania ni ku - generalise mambo.
Ukisoma thread nyingine, wachangiaji wanaeleza tatizo ni TRA, TBS pamoja na bandari. Lakini hapa inaonekana tatizo ni Zacharia na Metl
Big upSina ushauri ila nina nasha,,
Cement ya Bongo nzuri na inalipa..
Nimeweza kuwekeza kwa Cement ya Bongo kwa mda mrefu sana,,,
Zingatia haya,Unapotaja kuwa kufanya hiyo Biashara usisahau kuwa mbunifu,Fyatua matofali na kuyauza,Nunua viwanja na kujenga nyumba alafu uza au pangisha,,,
Mda sina ningekushauru zaidi lkn natumai umeng amua kitu hapo,,,
Sina ushauri ila nina nasha,,

Watanzania kamwe hatutofanikiwa kwa ofu ya kuthubutu na kukatishana tamaa.Ukishajua changamoto ni rahis kujua namna ya kuzikabili lakin sio kukatishana tamaa hao hakina metl wamezubutu ndio maana wako hapo walipo