Gharama za ku-import cement ya Pakistan (Lucky cement)

Rich Dad

JF-Expert Member
Joined
Dec 15, 2010
Posts
748
Reaction score
135
Wana-JF natumai mko poa,
Please naombeni msaada wenu juu ya kusafirisha/ kuingiza cement ya pakistan. Kwa kuanzia naombeni mnisaidie mambo yafuatayo;
I) Ni kampuni gani maarufu inayoaminika kwa kuuza cement kwa nchi za Africa, ikiwemo Tanzania.
II) Bei ya mfuko mmoja wa kg 50 ni ipi?
III) Kontena moja la 20ft linachukua mifuko mingapi?
IV) Duties zake kwa port ya dar es salaam zikoje?
Asanteni sana

kaka usijaribu biashara hiyo imeshikwa na tycoons zakaria na metl!utashangaa storage ya mzingo kubwa kuliko cost plus profit.utayakimbia makontena bandarini.hapo hapo kuna vita ya viwanda vyetu vya ndani juu ya impoters

mkuu tani ni dola 100,but unaitaji kuwa na extral power.

Nilishangaa kuona hiyo cement inavyonunuliwa kwa wingi hapo dar.

Kontena moja linachukua tani ngapi? Na je, hiyo dola 100 ni bei ya hadi kufikisha bandari ya dar? Thanks

Mkuu bongolala,
Je, nikitaka kufuata tricks za hao tycoons natakiwa nifanyaje? Na je, wao wanaagiza kutoka kwa kampuni gani huko pakistani? Thanks

kaka usijaribu biashara hiyo imeshikwa na tycoons zakaria na metl!utashangaa storage ya mzingo kubwa kuliko cost plus profit.utayakimbia makontena bandarini.hapo hapo kuna vita ya viwanda vyetu vya ndani juu ya impoters

Mkuu mgodi,
Hii cement inapendwa sana na baadhi ya wajenzi, wanasema ni nzuri kwa kutengeneza tofali za block.
Nilishangaa kuona hiyo cement inavyonunuliwa kwa wingi hapo dar.

Sijaona wachangiaji positive kama ilivyo kwenye thread nyingine. Tatizo letu watanzania ni ku - generalise mambo.

Ukisoma thread nyingine, wachangiaji wanaeleza tatizo ni TRA, TBS pamoja na bandari. Lakini hapa inaonekana tatizo ni Zacharia na Metl

We umechangia nn?

Sina ushauri ila nina nasha,,
Cement ya Bongo nzuri na inalipa..
Nimeweza kuwekeza kwa Cement ya Bongo kwa mda mrefu sana,,,
Zingatia haya,Unapotaja kuwa kufanya hiyo Biashara usisahau kuwa mbunifu,Fyatua matofali na kuyauza,Nunua viwanja na kujenga nyumba alafu uza au pangisha,,,
Mda sina ningekushauru zaidi lkn natumai umeng amua kitu hapo,,,

Big up

Thanks Mkuu.

Watanzania kamwe hatutofanikiwa kwa ofu ya kuthubutu na kukatishana tamaa.Ukishajua changamoto ni rahis kujua namna ya kuzikabili lakin sio kukatishana tamaa hao hakina metl wamezubutu ndio maana wako hapo walipo

Hii ndo Shida yetu kubwa, sijui tutaacha lini haya mawazo yaliyojaa mtindio Wa ubongo!! Sasa kama Zacharias na METLl wamejipenyeza pale TRA na TPA Wewe unashindwa nini kuwa na mtu wako pale?

Mi na like tu wakuu endeleeni nukutupa maujuzi wajasiriamali wadogo!

Back
Top Bottom