Ninataka kujua gharama za kuandaa mkataba mmoja kwa mwanasheria. Mfano mkataba wa kuuziana gari. Au mkataba wa makubaliano fulani.
Au kuna mtu nimemkopesha mtu kuasi fulan cha fedha. Sasa tunataka kuandikishana kwa mwanasheria
Nataka kujua tuu makadirio nitakayo mlipa mwanasheria