Gharama za kuandaa mkataba kwa mwanasheria

Gharama za kuandaa mkataba kwa mwanasheria

trplmike

JF-Expert Member
Joined
Apr 2, 2012
Posts
701
Reaction score
777
Ninataka kujua gharama za kuandaa mkataba mmoja kwa mwanasheria. Mfano mkataba wa kuuziana gari. Au mkataba wa makubaliano fulani.

Au kuna mtu nimemkopesha mtu kuasi fulan cha fedha. Sasa tunataka kuandikishana kwa mwanasheria
Nataka kujua tuu makadirio nitakayo mlipa mwanasheria
 
Kwa kawaida bei hupimwa kwa percent (3%) ya subject matter! Lakini waweza kuja pm kwa uhalisia zaidi!
 
Ninataka kujua gharama za kuandaa mkataba mmoja kwa mwanasheria. Mfano mkataba wa kuuziana gari. Au mkataba wa makubaliano fulani.

Au kuna mtu nimemkopesha mtu kuasi fulan cha fedha. Sasa tunataka kuandikishana kwa mwanasheria
Nataka kujua tuu makadirio nitakayo mlipa mwanasheria

Gharama ya kisheria ni 3% ya bei ya jumla ya mauziano, n.k.

Pia, kiwango hicho kinaweza kubadilishwa kwa makubaliano ya wakili na mteja.

Nitafute tufanye kazi kwa urahisi, kuandaa mkataba na kusajili ktk Kampala husika (ikiwa ni muhimu kusajili mkataba huo).

Karibu sana.
 
Back
Top Bottom