Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
1az yako ni D4 au siyo D4?Habarini wakuu, napenda kujua gharama tajwa hapo juu tafadhali
Hapo kununua engine x wiring x control box x gearbox bado sina uhakikaNi D4 mkuu
D4 bonge moja la engine ukiwa unapenda gari.
Kwenye RAV4 D4 ni 2.0L hivi kuna D4 kwenye RAV4 ambayo ni 1.8L?Nasisitiza na mimi. Kama anaweza kuipa hiyo engine inachotaka aiache... With genuine spares plus service.... 1az ya d4 ni good choice kuliko 1zz...
Kwenye RAV4 D4 ni 2.0L hivi kuna D4 kwenye RAV4 ambayo ni 1.8L?