Gharama za kubadili engine 1az kwenye RAV4 na kuweka 1zz

Habarini wakuu, napenda kujua gharama tajwa hapo juu tafadhali
1az yako ni D4 au siyo D4?

Whatever itakavyokuwa sina uhakika kama gearbox iliyotumika kwenye 1zz na iliyotumika kwenye 1az zipo sawa. 1az inatumia gearbox ya u241e. Unahitaji kuconfirm this.
 
Ni D4 mkuu
 
Ukipata engine ya VVTi hutajutia kabisa
 
Back
Top Bottom