Ndumbayeye
JF-Expert Member
- Jan 31, 2009
- 7,413
- 4,020
nimenunua kiwanja mwaka 2004 kwa 1m, kabla sijabadili umiliki nikaanza ujenzi kidogokidogo nikamaliza mwaka 2010.
Mwaka huu nimeanza kubadili umiliki wa kiwanja/plot iwe kwa jina langu. Watu wa ardhi baada ya kufanya tathmini wananiambia nikalipie 10% milioni 20 tra kama property najiona kama nimeonewa kwa vile mimi sikununua nyumba nimenunua kiwanja.
Je ni halali kuchelewa kwangu kufanya transfer ya umiliki wa kiwanja adhabu yangu iwe kulipa 20?