Gharama za kubadilisha umiliki wa kiwanja

Gharama za kubadilisha umiliki wa kiwanja

Ndumbayeye

JF-Expert Member
Joined
Jan 31, 2009
Posts
7,413
Reaction score
4,020
nimenunua kiwanja mwaka 2004 kwa 1m, kabla sijabadili umiliki nikaanza ujenzi kidogokidogo nikamaliza mwaka 2010.

Mwaka huu nimeanza kubadili umiliki wa kiwanja/plot iwe kwa jina langu. Watu wa ardhi baada ya kufanya tathmini wananiambia nikalipie 10% milioni 20 tra kama property
najiona kama nimeonewa kwa vile mimi sikununua nyumba nimenunua kiwanja.

Je ni halali kuchelewa kwangu kufanya transfer ya umiliki wa kiwanja adhabu yangu iwe kulipa 20?
 
nimenunua kiwanja mwaka elfu 2004 kwa 1m, kabla sijabadili umiliki nikaanza ujenzi kidogokidogo nikamaliza mwaka 2010. Mwaka huu nimeanza kubadili umiliki wa kiwanja/plot iwe kwa jina langu. Watu wa ardhi 1baada ya kufanya tathmini wananiambia nikalipie 10% milioni 20 tra kama property najiona kama nimeonewa kwa vile mimi sikununua nyumba nimenunua kiwanja. Je ni halali kuchelewa kwangu kufanya transfer ya umiliki wa kiwanja adhabu yangu iwe kulipa 20?

Kawaone wanasheria. Hapa hakuna jibu rahisi na mkato.
 
Mr. Ndumbayeye, maelezo uliyopewa si sahihi.

Kodi ya CAPITAL GAIN inakuwa ni 10% ya "gain" unayopata kwa kuuza ardhi au nyumba.
Kupata gain unachukua bei uliyouzia au thamani ya sasa then unatoa gharama zifuatazo:
(a) The cost of acquisition of the interest
(b) The expenditure incurred on any improvement to the asset
(c) Expenditure incurred wholly and exclusively in connection
with the realisation, such as stamp duty, registration
charges, legal fees, brokerage etc.

NB. Capital gain tax ilitakiwa ilipwe na yule aliyekuuzia hicho kiwanja kwa wakati huo ila kwa sasa itabidi ulipe wewe.



Kwa maelezo zaidi itafute hii document kwenye website ya TRA
Practice Note No.02: Capital Gain From Realization of Interest in Land and Buildings
 
Back
Top Bottom