Ndumbayeye
JF-Expert Member
- Jan 31, 2009
- 7,413
- 4,020
nimenunua kiwanja mwaka elfu 2004 kwa 1m, kabla sijabadili umiliki nikaanza ujenzi kidogokidogo nikamaliza mwaka 2010. Mwaka huu nimeanza kubadili umiliki wa kiwanja/plot iwe kwa jina langu. Watu wa ardhi 1baada ya kufanya tathmini wananiambia nikalipie 10% milioni 20 tra kama property najiona kama nimeonewa kwa vile mimi sikununua nyumba nimenunua kiwanja. Je ni halali kuchelewa kwangu kufanya transfer ya umiliki wa kiwanja adhabu yangu iwe kulipa 20?
najua humu hawatakosaKawaone wanasheria. Hapa hakuna jibu rahisi na mkato.
Kawaone wanasheria. Hapa hakuna jibu rahisi na mkato.