Gharama za kuchimba kisima Dar Es Salaam

Gharama za kuchimba kisima Dar Es Salaam

Rose Of Africa

JF-Expert Member
Joined
Apr 27, 2020
Posts
228
Reaction score
96
Habari wana JF

Kumekuwa na sitofahamu kwa wachimba visima, haswa pale unapohitaji kuchimbiwa kisima, kila mmoja anataja gharama zake kwa anavyojisikia!. Hili ni tatizo!

Napenda kufahamu kuhusu uchimbaji wa visima kwa hapa Dar Es Salaam. Je yupo mtu anayefahamu Company au mtu mwaminifu kwa shughuli hizi?


Wachimbaji waaminifu, na gharama Zao



Karibuni!
 
Back
Top Bottom