K Kysh New Member Joined Feb 4, 2012 Posts 4 Reaction score 2 Feb 4, 2012 #1 Wapendwa wana Jamii Forum, Naomba ushauri wenu kwa yeyote ambaye ana utaalamu wa kukadilia gharama za kuchimba kisima cha maji kwa ajili ya matumizi ya nyumbani. Ni makampuni yapi yanaweza kufanya hii kazi kwa haraka na bila usumbufu?
Wapendwa wana Jamii Forum, Naomba ushauri wenu kwa yeyote ambaye ana utaalamu wa kukadilia gharama za kuchimba kisima cha maji kwa ajili ya matumizi ya nyumbani. Ni makampuni yapi yanaweza kufanya hii kazi kwa haraka na bila usumbufu?
Donnie Charlie JF-Expert Member Joined Sep 16, 2009 Posts 16,908 Reaction score 19,123 Feb 4, 2012 #2 imeshajadiliwa humu na kutolewa ushauri wa ki-taalamu, itafute!
King Kong III JF-Expert Member Joined Oct 15, 2010 Posts 56,205 Reaction score 79,515 Feb 4, 2012 #3 Gharama from what is(mwanzo) hadi mwisho ni karibia 1.8m,usisahau kuyapima maji yako kwa wataalamu wakupe na certificate
Gharama from what is(mwanzo) hadi mwisho ni karibia 1.8m,usisahau kuyapima maji yako kwa wataalamu wakupe na certificate
Zamaulid JF-Expert Member Joined May 25, 2009 Posts 19,697 Reaction score 15,497 Feb 4, 2012 #4 King Kong III said: Gharama from what is(mwanzo) hadi mwisho ni karibia 1.8m,usisahau kuyapima maji yako kwa wataalamu wakupe na certificate Click to expand... Mkuu cheti hutolewa kwa sbb gani?nn faida yake?
King Kong III said: Gharama from what is(mwanzo) hadi mwisho ni karibia 1.8m,usisahau kuyapima maji yako kwa wataalamu wakupe na certificate Click to expand... Mkuu cheti hutolewa kwa sbb gani?nn faida yake?
K Kysh New Member Joined Feb 4, 2012 Posts 4 Reaction score 2 Feb 4, 2012 Thread starter #5 Nitajaribu kusearch tena, ila ningeshukuru kama unge-attach na link. Thanks.
Jestina JF-Expert Member Joined Jan 6, 2011 Posts 4,828 Reaction score 1,712 Feb 4, 2012 #6 wekeni hio link kama imejadiliwa.....hata mie ningependa kujunza
Donnie Charlie JF-Expert Member Joined Sep 16, 2009 Posts 16,908 Reaction score 19,123 Feb 5, 2012 #7 Haya link hii hapa, https://www.jamiiforums.com/busines...161275-gharama-ya-kutengeneza-kisima-dar.html
Haya link hii hapa, https://www.jamiiforums.com/busines...161275-gharama-ya-kutengeneza-kisima-dar.html