Gharama za kuchimba kisima kwa matumizi ya nyumbani

Gharama za kuchimba kisima kwa matumizi ya nyumbani

Kysh

New Member
Joined
Feb 4, 2012
Posts
4
Reaction score
2
Wapendwa wana Jamii Forum,
Naomba ushauri wenu kwa yeyote ambaye ana utaalamu wa kukadilia gharama za kuchimba kisima cha maji kwa ajili ya matumizi ya nyumbani.
Ni makampuni yapi yanaweza kufanya hii kazi kwa haraka na bila usumbufu?
 
imeshajadiliwa humu na kutolewa ushauri wa ki-taalamu, itafute!
 
Gharama from what is(mwanzo) hadi mwisho ni karibia 1.8m,usisahau kuyapima maji yako kwa wataalamu wakupe na certificate
 
Nitajaribu kusearch tena, ila ningeshukuru kama unge-attach na link.
Thanks.
 
wekeni hio link kama imejadiliwa.....hata mie ningependa kujunza
 
Back
Top Bottom