4MNaomba kujua makadirio ya gharama za kufanya finishing chumba kimoja
Vitu vya kufanya
- Rough Floor
- Mlango wa mbao
- Mlango wa Alminium kwa ajili ya toilet
- Plaster
- Skimming
- Blandering
- Gypsum board
- Rangi
- Tiles chumbani
- Tiles toilet - juu na ukutano (toilet ina ukubwa wa 2.5m x 2.7m)
- Choo cha kukaa
- Sink la kunawia
- Shower set
Chumba kina ukubwa wa 4m x 3.5m (ukiunganisha na eneo la toilet)
Note: Nimeambatanisha picha kuonyesha chumba kinatakiwa kije kiwaje
Habari yako chief naomba msaada wa makadirio ya kufanya finshing ya aina hii ya nyumba bila kufanya system ya mabomba ya maji ndani inaweza ikanigharimu kiasi gani
Vipi mkuu ulifanikiwa kupata jibu au majibu ya ulichouliza?Naomba kujua makadirio ya gharama za kufanya finishing chumba kimoja
Vitu vya kufanya
- Rough Floor
- Mlango wa mbao
- Mlango wa Alminium kwa ajili ya toilet
- Plaster
- Skimming
- Blandering
- Gypsum board
- Rangi
- Tiles chumbani
- Tiles toilet - juu na ukutano (toilet ina ukubwa wa 2.5m x 2.7m)
- Choo cha kukaa
- Sink la kunawia
- Shower set
Chumba kina ukubwa wa 4m x 3.5m (ukiunganisha na eneo la toilet)
Note: Nimeambatanisha picha kuonyesha chumba kinatakiwa kije kiwaje
View attachment 2239487View attachment 2239488View attachment 2239489View attachment 2239496