backtobasics
Member
- Apr 24, 2024
- 13
- 16
Habari wakuu
Nina mpango wa kufanya maboresho nyumbani na kwa kuanzia ninatamani kurekebisha choo na bafu, kuna tiles tayari ila style ya kizamani inaishia nusu ukuta so kwa sasa nataka kuweka full, pia bafu haikuwa na slope nzuri so maji hutuama fulani hivi.
Naombeni ushauri kuhusu makadirio ya gharama ikiwemo mlango wa aluminium kwa bafu na choo, tiles, sinki la choo na tiles je kuna haja ya kubadili maana fashion ya more than 10 yrs ago bado itakuwepo sokoni au ndio nivunje niweke mpya? Ukubwa ni wa kawaida tu standard both choo na bafu.