backtobasics
Member
- Apr 24, 2024
- 13
- 16
Ufafanuzi zaida unitoe matongotongosink la castleware ni 350,000, mixer yake moja ni 300,000/= , mixer ya bomba la mvua ni 970,000, choo cha kukaa arrow ni 550,000
Gharama ya vitu og utakavobasilisha vya zamaniUfafanuzi zaida unitoe matongotongo
Leta picha,Habari wakuu
Ninampango wa kufanya maboresho nyumbani na kwa kuanzia ninatamani kurekebisha choo na bafu, kuna tiles tayari ila style ya kizamani inaishia nusu ukuta so kwa sasa nataka kuweka full, pia bafu haikuwa na slope nzuri so maji hutuama fulani ivi ...Naombeni ushauri kuhusu makadirio ya gharama ikiwemo mlango wa aluminium kwa bafu na choo, tiles, sinki la choo na tiles je kuna haja ya kubadili maana fashion ya more than 10 yrs ago bado itakuwepo sokoni au ndio nivunje niweke mpya? Ukubwa ni wa kawaida tu standard both choo na bafu
Uko sawa,aweke kama 1.7m, kama hela yake ni ya kuunga ila kama yuko vizuri afuate ushauri wa ubarinolutu hapo juu...Kama ni reform bas andaa 1m Ivi af Upo wapi kama ni dar vifaa ni rahis kuliko Mikoan hapo kipengele ni magundi
tiles box 15-20
Tiles za chin box 2
Shower mixer 100000+
WC 30000+
Basen 100000+
Ips pipe and connectors 100000+
Fundi