Wazo la kabwela JF-Expert Member Joined Feb 13, 2013 Posts 1,812 Reaction score 1,373 Jul 8, 2015 #1 Habar wana JF Doctors, Naamini mko salama jamani naomba kuuliza gharama za upasuaji wa tonsils kwa Hospitali ya KCMC. Je upasuaji unafanyika ndani ya kinywa au nje ? Asanteni.
Habar wana JF Doctors, Naamini mko salama jamani naomba kuuliza gharama za upasuaji wa tonsils kwa Hospitali ya KCMC. Je upasuaji unafanyika ndani ya kinywa au nje ? Asanteni.