Wazo la kabwela
JF-Expert Member
- Feb 13, 2013
- 1,812
- 1,373
Habar wana JF Doctors,
Naamini mko salama jamani naomba kuuliza gharama za upasuaji wa tonsils kwa Hospitali ya KCMC.
Je upasuaji unafanyika ndani ya kinywa au nje ?
Asanteni.