Gharama za kuingiza gari Dsm.

Gharama za kuingiza gari Dsm.

Kamarada

JF-Expert Member
Joined
Jul 24, 2010
Posts
253
Reaction score
161
Wapenzi wana JF Salaam,
Nataka kununua gari fm Japan, Mitsubish Canter (Dump) ya 1998 kwa USD. 9,500 (CFI). Plz naomba kufahamishwa mchanganuo wa gharama za kulipa Bandarini wakati wa kutoa gari hadi liwe kwa barabara ili niweze kujiandaa kwa mchakato huo.

Natanguliza shukrani za dhati sana!!!
 
Back
Top Bottom