Sonko Bibo
JF-Expert Member
- May 24, 2019
- 957
- 1,493
Umeongea maisha ya mahusiano ukayamaliza for once..Kama unafanya starehe halafu unakuja kulalamika ujue hauishi kulingana na kipato chako.
Punguza matumizi endelea kutafuta hela
Hizo K hazina maajabu wewe unamlipa 50k kuna mwana ameshamchoka
Unamkodishia bolt kuna mwana simu moja tu huyo malaya anaenda mwenyewe hata nauli haulizii anapigwa miti anasonga ugali wanakula anarudi kwao
Acha ulimbukeni bwana mdogo
A horny man can lose everything in a day
Success requires sexual discipline
As a man control your sexual urges before you lose yourself
Mwehu wewe
Hongera kwa kufikia hii level broo ni wachache sana tulioifikia hapa Duniani..Niamini mimi....
Mimi ikiwa ni mara ya kwanza, nampeleka manzi lodge na hiyo ni ya elfu kumi tu ikizidi 15k.
Then kama hatukupanga bei mwanzo mwishoni anapewa 20k..
Simuachi aondoke peke yake, napanda nae kama ni boda au daladala hadi getini kwao au kwake then namuaga kiroho safi tu narudi..
Kisha napiga kimya kabisa, anaanza kunitafuta sasa hapo ndio anaanza kuletwa nyumbani. Akifika speed ya kwanza bafuni tukaoge wote hata kama atasema ameoga wakati anakuja..
Kisha tunapiga show za kindezi ndezi hivi baadae tunaingia sokoni kuhemelea nakuwa namuuliza tununue viungo gani kulingana na upishi fulani wa mboga ninavyoitaka iwe..
Anaondoka kwenye ile state ya ukahaba kwanza anaanza kujikuta na kujiona ashakuwa mke..
Anakuwa huru sasa kukwambia mambo mengi tu na mitabia mingi anajitahidi kuificha baada ya kugundua kuwa kakutana na mwanaume,, sio mvulana..
Anapika na kupakua na bado naweza kumbakiza gheto kwangu hata kwa wiki bila kuathiri ratiba zangu wala zake..
Na manzi hapingi..
So mwamba unachokisema ni sahihi mapenzi ni wimbo tu so inategemea wewe utatumia sauti gani kuuimba
Wengine watajikakamua sana huku wakipata shida sana
Lakini wengine watalegeza tu koo na sauti kitu inaclick..
Mwanzo sio dhambi kutumia gharama kiasi kumu-unlock. But mkishalala anza hapo hapo kumconqure huyo mwanamke..
Maana yake kama umeweza kumpump mpaka ukamkojolea basi ni wazi kuwa amehiyari kuuvua utu wake kwaajili yako ama pesa yako..
Ila ukumbuke kuwa sio pesa iliyomlala bali ni wewe ndie ulikuwa ukimuingilia..
Mtawale huyo kiumbe wako kuepuka gharama zisizo na ulazima
Ningeweka kamkasa kangu kamoja huko wayback but sema itasababisha hii post yangu kuwa ndefu..
By Sonko of the Sonkos..