Gharama za kuleta bidhaa kutoka China

Gharama za kuleta bidhaa kutoka China

Nimeona machine ya Ku print alibaba inauzwa bei cheap.dola 115 sasa nimeshawishika kununua ...sasa ndio nikapata kigugumiz kwenye gharama za usafiri na kodi zisije kua kubwa nikapoteza pesa zangu... Cjaagiza bado Ila nafikiria kuagiza..naomba uzoefu..
Naomba msaada Wadau Nina milioni 20 Nataka kununua Music system ya kisasa je Hiyo pesa inatosha
 
Naomba msaada Wadau Nina milioni 20 Nataka kununua Music system ya kisasa je Hiyo pesa inatosha
Ndio inatosha
Na pia inawezekna isitoshe

1. Ingia mtandaoni utafute music system unayohitaji.
2. Weka link
3. Utapewa ghalama ya manunuzi + kusafirisha
4. Kodi / Vat ni bada ya mzigo kufika nchini
 
Nimeona machine ya Ku print alibaba inauzwa bei cheap.dola 115 sasa nimeshawishika kununua ...sasa ndio nikapata kigugumiz kwenye gharama za usafiri na kodi zisije kua kubwa nikapoteza pesa zangu... Cjaagiza bado Ila nafikiria kuagiza..naomba uzoefu..
Kaka umewahi kuagiza mzigo Alibaba??
 
Je nini maoni/mawazo yako?, ili nawengine wanufaike.

Kama inatia shaka fika kwenye ofisi mfano za DHL, FEDEX etl upate gharama
1565236185798.png

Iwapo mzigo unakuja kwa njia ya maji, Gharama huwa ni nafuu zaidi, kwa CMB moja.
 
Je nini maoni/mawazo yako?, ili nawengine wanufaike.

Kama inatia shaka fika kwenye ofisi mfano za DHL, FEDEX etl upate gharama
View attachment 1175159

Iwapo mzigo unakuja kwa njia ya maji, Gharama huwa ni nafuu zaidi, kwa CMB moja.
Nafikiria kuagiza mashine za bakery kutoka china, nimeona mashine aalibaba na bei zinavutia, nahitaji kujua itachukua muda gani mashine kufika Tanzania kwa usafiri wa meli?
 
Ndio inatosha
Na pia inawezekna isitoshe

1. Ingia mtandaoni utafute music system unayohitaji.
2. Weka link
3. Utapewa ghalama ya manunuzi + kusafirisha
4. Kodi / Vat ni bada ya mzigo kufika nchini
Ninahitaka kuagiza sofa seti bei ni M1.2 l, je hii kodi yake itakua bei gani? Bongo zauzwa m3.6 je niagize au bora kununua hapa?
 
Habari, najua hii mada ni ya muda kidogo lakini ningeomba msaada kulingana na nyakati ziliopo.
Hivi ni vigezo gani vinatumika kupima gharama za uagizaji bidhaa kwenye meli?.
Mzigo wa kg 270 wa plastic beads unaweza kugharamika kwa sh ngapi ((45*35*25cm)*10)
Mzigo ukifika Dsm ni gharama gani nyingine zinahitajika kuuchukua?
 
Back
Top Bottom