Habari wana jf. Ninaomba kufahamu kwa yeyote anayejua gharama za kusafisha pori hadi kupata ardhi inayofaa kupanda mazao ni kiasi gani kwa heka moja. Nimennua eneo pwani kibiti na ninatarajia kuanza kilimo huko.

Bado hueleweki mkuu labda kwa kukusaidia hilo poli ili liwe shamba kuna aina 2.ya kwanza ambayo ndio nimeona huko wengi wanaitumia ni wanafyeka poli wanachoma halafu wanapuliza dawa ya kuua majani wanapanda kwa aina hiyo kufyeka huwa ni elfu 50 kwenda juu kwa heka.aina ya 2 ni unafyeka msitu unawalipa na wanang'oa visiki unawalipa bei ingine ili shamba liwe jeupe upitishe tractor sasa sijui unapenda ipi karibu ktk kilimo kinalipa sana