Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Habari wana jf. Ninaomba kufahamu kwa yeyote anayejua gharama za kusafisha pori hadi kupata ardhi inayofaa kupanda mazao ni kiasi gani kwa heka moja. Nimennua eneo pwani kibiti na ninatarajia kuanza kilimo huko.