Kwa sisi wapenzi wa mpira na kisimbuzi cha Azam Tv, nilijipa muda nikachunga na kuthibitisha sisi Tanzania tunalipia pesa nyingi kununua na kulipia vifurushi vya Azam tv tofauti hata na majirani zetu Kenya na Uganda, najiuliza hivi shida yetu kubwa ni nini hadi tunalipia gharama kubwa hivi
Mfano Kenya Azam lite ni Ksh 300 amboyo ni sawa na Tsh 5k wakati kwetu ni Tsh 8k. Nawaomba wenye mamlaka waliangalie hili pia kwa jicho makini, maisha yetu niya gharama sana wakati huu kila kitu kipo juu🙏