Gharama za kulipia Azam Tv ni kubwa kwa Tanzania kuliko majirani zetu

Gharama za kulipia Azam Tv ni kubwa kwa Tanzania kuliko majirani zetu

Acha zako hiyo ni biashara za watu na ipo kwa ajili ya kupata faida.
Nyinyi mnalipa gharama kubwa kuliko kenya na uganda kwa sababu nyinyi mnauhitaji mkubwa wa ligi kuu kuliko kenya na uganda.
Yani ameleta mada ya kiwaki kimbwa yani
 
Acha uzwazwa wewe nani amekuambia kila mtu anashabikia mpira?
Kama shida ni mpira angeweka package yake special kwa wapenda mpira
Sio mpira tuu hata tamsilia zilizotafsiriwa kiswahili zina soko sana uswahilini. So bado uhitaji ni mkubwa sana bongo
 
Malawi haizidi elfu 10 shilingi za kitanzania kwa mwezi kwa kifurushi ambacho bongo ni elfu 35
 
halafu hizohizo kampuni zilikuwa zinalalamika kuhusu kuwekewa stika za tra kwenye vinywaji wanavyozalisha Tanzania gharama ipo juu kuliko nchi nyingine lakini na wao wanarudia upuuzi huohuo
 
Back
Top Bottom