Kwani ujui chuki ya wazanzibar kwa wabara ? Mcheki saa100 na upuuzi nchi nzimaKwa sisi wapenzi wa mpira na kisimbuzi cha Azam Tv, nilijipa muda nikachunga na kuthibitisha sisi Tanzania tunalipia pesa nyingi kununua na kulipia vifurushi vya Azam tv tofauti hata na majirani zetu Kenya na Uganda, najiuliza hivi shida yetu kubwa ni nini hadi tunalipia gharama kubwa hivi
Mfano kesha Azam lite ni Ksh 300 amboyo ni sawa na Tsh 5k wakati kwetu ni Tsh 8k. Nawaomba wenye mamlaka waliangalie hili pia kwa jicho makini, maisha yetu niya gharama sana wakati huu kila kitu kipo juu[emoji120]
Malawi ni rahisi zaidiKwa sisi wapenzi wa mpira na kisimbuzi cha Azam Tv, nilijipa muda nikachunga na kuthibitisha sisi Tanzania tunalipia pesa nyingi kununua na kulipia vifurushi vya Azam tv tofauti hata na majirani zetu Kenya na Uganda, najiuliza hivi shida yetu kubwa ni nini hadi tunalipia gharama kubwa hivi
Mfano kesha Azam lite ni Ksh 300 amboyo ni sawa na Tsh 5k wakati kwetu ni Tsh 8k. Nawaomba wenye mamlaka waliangalie hili pia kwa jicho makini, maisha yetu niya gharama sana wakati huu kila kitu kipo juu[emoji120]
Acha uzwazwa wewe nani amekuambia kila mtu anashabikia mpira?Acha zako hiyo ni biashara za watu na ipo kwa ajili ya kupata faida.
Nyinyi mnalipa gharama kubwa kuliko kenya na uganda kwa sababu nyinyi mnauhitaji mkubwa wa ligi kuu kuliko kenya na uganda.
Narudia tena hiyo ni biashara za watu wanahitaji faida na sio kukufurahisha ww.Acha uzwazwa wewe nani amekuambia kila mtu anashabikia mpira?
Kama shida ni mpira angeweka package yake special kwa wapenda mpira
Jibu swali kila mtu anashabikia mpira wa miguu? Maana wewe hoja yako umesema ligi kuu ndio sababu ya vifurushi kuwa Bei juuNarudia tena hiyo ni biashara za watu wanahitaji faida na sio kukufurahisha ww.
Kwetu Kodi na tozo ziko nyingiKwa sisi wapenzi wa mpira na kisimbuzi cha Azam Tv, nilijipa muda nikachunga na kuthibitisha sisi Tanzania tunalipia pesa nyingi kununua na kulipia vifurushi vya Azam tv tofauti hata na majirani zetu Kenya na Uganda, najiuliza hivi shida yetu kubwa ni nini hadi tunalipia gharama kubwa hivi
Mfano kesha Azam lite ni Ksh 300 amboyo ni sawa na Tsh 5k wakati kwetu ni Tsh 8k. Nawaomba wenye mamlaka waliangalie hili pia kwa jicho makini, maisha yetu niya gharama sana wakati huu kila kitu kipo juu๐
Umesahau kama serikali yako sikivu iliongeza kodi/tozo kwenye visimbuzi, kikiwemo hicho cha Azam?Kwa sisi wapenzi wa mpira na kisimbuzi cha Azam Tv, nilijipa muda nikachunga na kuthibitisha sisi Tanzania tunalipia pesa nyingi kununua na kulipia vifurushi vya Azam tv tofauti hata na majirani zetu Kenya na Uganda, najiuliza hivi shida yetu kubwa ni nini hadi tunalipia gharama kubwa hivi
Mfano kesha Azam lite ni Ksh 300 amboyo ni sawa na Tsh 5k wakati kwetu ni Tsh 8k. Nawaomba wenye mamlaka waliangalie hili pia kwa jicho makini, maisha yetu niya gharama sana wakati huu kila kitu kipo juu๐
Tusimamie kauli ya wale wazee watu wa utopoloni?Kama sio DStv potezea
Kwani wale wazee wetu lile tamko lao hatulifanyii kazi mpaka muda huu?Wali maharage bongo Tshs 1500 Kenya Kshs 120/= chagua Azam au msosi
Biashara huwa inapanda bei kwa sababu uhitaji kuongezeka.Jibu swali kila mtu anashabikia mpira wa miguu? Maana wewe hoja yako umesema ligi kuu ndio sababu ya vifurushi kuwa Bei juu
Kwani picha ya nguruwe pori ni ruksa kupost humu [emoji849][emoji849]
Wazee wenu kina nani?Kwani wale wazee wetu lile tamko lao hatulifanyii kazi mpaka muda huu?