J justine Baragamba New Member Joined May 2, 2015 Posts 4 Reaction score 0 May 17, 2015 #1 Naombeni mnisaidie utaratibu halisi wa kulipia ghrama za kuingiza gari nchini ilikwa ni pamoja na gharama za TRA usajili kutokana na mwaka
Naombeni mnisaidie utaratibu halisi wa kulipia ghrama za kuingiza gari nchini ilikwa ni pamoja na gharama za TRA usajili kutokana na mwaka
Hossam JF-Expert Member Joined Feb 10, 2011 Posts 3,544 Reaction score 2,169 May 17, 2015 #2 Jaribu uone, jamaa yangu kaingiza crown alilipia mil 5.2 ushuru umekuja mil 7.5 jaribu nawewe uone. Uchaguzi unakuja ujue
Jaribu uone, jamaa yangu kaingiza crown alilipia mil 5.2 ushuru umekuja mil 7.5 jaribu nawewe uone. Uchaguzi unakuja ujue
M MZAWATA JF-Expert Member Joined Feb 10, 2011 Posts 556 Reaction score 95 May 18, 2015 #3 huu ushuru ni shida sana sana na inakuwaje kama nikipitisha Mombasa?
E Edobeny Senior Member Joined Nov 26, 2014 Posts 143 Reaction score 29 May 18, 2015 #4 justine Baragamba said: Naombeni mnisaidie utaratibu halisi wa kulipia ghrama za kuingiza gari nchini ilikwa ni pamoja na gharama za TRA usajili kutokana na mwaka Click to expand... Gharama zinategemeana na mwaka wa gari, CC ya gari na FOB ya gari. Ili tukusaidie vizuri weka hayo mambo wazi ili tujue tunaanzia wapi.
justine Baragamba said: Naombeni mnisaidie utaratibu halisi wa kulipia ghrama za kuingiza gari nchini ilikwa ni pamoja na gharama za TRA usajili kutokana na mwaka Click to expand... Gharama zinategemeana na mwaka wa gari, CC ya gari na FOB ya gari. Ili tukusaidie vizuri weka hayo mambo wazi ili tujue tunaanzia wapi.