justine Baragamba
New Member
- May 2, 2015
- 4
- 0
Naombeni mnisaidie utaratibu halisi wa kulipia ghrama za kuingiza gari nchini ilikwa ni pamoja na gharama za TRA usajili kutokana na mwaka
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Gharama zinategemeana na mwaka wa gari, CC ya gari na FOB ya gari. Ili tukusaidie vizuri weka hayo mambo wazi ili tujue tunaanzia wapi.Naombeni mnisaidie utaratibu halisi wa kulipia ghrama za kuingiza gari nchini ilikwa ni pamoja na gharama za TRA usajili kutokana na mwaka