Gharama za kumiliki spacio

Gharama za kumiliki spacio

Qtee

Member
Joined
Sep 20, 2014
Posts
52
Reaction score
6
Habari wanajamii!
Ninahitaji kuagiza gari aina ya spacio msaada wenu wa mawazo unahitajika.
Niagize gari kutoka Japan au UK?
Gari kutoka Uingereza itaweza kumudu hali ya barabara zetu kama za kivule?
Price range yake interms of CIF/FOB ni kiasi gani (ambayo haitaniweka kwenye kodi ya uchakavu)
Nautaratibu wa kupata exemption sababu mimi ni mfanyakazi wa serikalini?
Operating and maintanance costs zake kwa hapa TZ.
Thanks in advance
 
kweli unahitaji msaada maana hata post yako nimeisoma mara kadhaa lakini sijaielewa.
 
Yaani uichukulie exemption ka spacio?
Are you serious?
Au ni promo kimtindo kuwa wataka kumiliki hako ka babywalker?
Jipange.
 
Back
Top Bottom