Gharama za kumkufuru Mungu

Gharama za kumkufuru Mungu

Kiranja Mkuu

JF-Expert Member
Joined
Feb 18, 2010
Posts
4,219
Reaction score
4,608
Usithubutu kumkufuru Mungu kamwe!! Narudia tena usithubutu kumkufuru Mungu kamwe!!!

Mmiliki wa meli kubwa kuliko zote ya Titanic ⛵️ alisema: "Hata Mungu hawezi kuizamisha
meli hii”, unajua nini kilitokea? Meli ⛵ ilizama muda mfupi baadaye.

Marilyn Monroe alisema: "Simhitaji YESU", siku 3 baadaye alipatikana amekufa.

Binti mmoja alikuwa anaenda kutalii na marafiki zake kwa gari yao ndogo. Mama yake akamwambia binti yake, "Mungu awe nawe".
Cha ajabu binti akajibu, Kwenye gari Hakuna nafasi. Labda huyo Mungu aingie kwenye buti nyuma ya gari, maana yake hakukuwa na nafasi ndani ya gari isipokuwa kwenye buti. Katika safari yao walipata
ajali mbaya ambapo watu wote waliokuwa ndani ya gari hilo walifariki dunia lakini kwenye buti kulikuwa na Trey ya mayai ikakutwa nzima halikuvunjika yai hata moja. Kumbe ni kweli Mungu alikuwepo kwenye buti.

Baba moja alimwambia mwanawe, "Mungu akulinde", mtoto akasema, "rafiki zangu watanilinda kuliko Mungu", alipokuwa akirudi kutoka kazini kwake risasi iliyopotea ilimuua ambapo
marafiki zake walimtazama tu lakini hawakuweza kumlinda.

Mvulana alikwenda kanisani na kukojoa msalabani akisema "hakuna MUNGU", siku iliyofuata alipoteza mikono yake, na kukiri kuunajisi msalaba wa Yesu.

Mwanaume mmoja alipata ujumbe huu na kuufuta akisema ni nini hiki?!! "Mungu hayupo", mtu huyo aliteseka kwa miaka 8 kabla ya kifo,

Mtu mwingine alipata ujumbe huu na kuusambaza kwa watu wengi iwezekanavyo alipandishwa cheo katika kazi yake.

MUNGU hufungua milango ambayo hakuna awezaye kuifunga. Na kama humhitaji MUNGU puuza ujumbe huu na usiueneze............ 😔

Ujumbe unalenga kuzunguka ulimwengu mzima.

Rais wa Argentina aliupokea ujumbe huu na kuupuuza, baada ya siku 8 mtoto wake alikufa.

Mtu mmoja huko Tanga alimdhulumu mtu fedha milioni moja ya shamba. Baba mmoja akamwambia, wewe humjui Mungu. Huyo mtu akajibu, "Mungu, Mungu ni kitu gani? Hakuna Mungu" Baba akamwambia, basi kama humjui utakutana naye njiani. Alipokuwa kwenye safari zake, akakutana na majambazi wakamuua wakachukua fedha laki tatu tu, laki saba zikabaki kwenye mfuko wa bukta ndani ya suruali. Akakutwa ametupwa porini. Watu wakatoa taarifa ikafahamika kwamba ni yule aliyekufuru.

Ujumbe huu ni mtakatifu na wa miujiza.
Shiriki hii neema kwenye vikundi 5 tofauti vya WhatsApp na andika neno "Amen" Kisha subiri katika siku 5 zijazo utapata jambo la kushangaza. Usipuuze!!!

Baraka itakuja kwako kwa namna ya ajabu ikiwa ni nyumba, ndoa, fedha au kazi.

Usiivunje au kuuliza maswali, huu ni mtihani.
 
Hayo mayai wangeyapata manabii wa Dar, yangeitwa mayai ya upako. Yangepigwa picha na picha moja ya mayai ya upako, picha yenye kukukinga na ajali zote ingeuzwa 1'000'000/
 
nikikumbuka niliwahi kufowadi meseji kwa watu 10 ili niwe tajiri nachoka sana
Huu ujinga sijui nani aliuanzisha, anachezea sana imani za watu.

Ndio maana mtu anatakiwa asome baada ya kuamini, ili asije akafanya mambo ya kijinga akidhani kuwa ni ubada.
 
Usithubutu kumkufuru Mungu kamwe!! Narudia tena usithubutu kumkufuru Mungu kamwe!!!

Mmiliki wa meli kubwa kuliko zote ya Titanic [emoji569]️ alisema: "Hata Mungu hawezi kuizamisha
meli hii”, unajua nini kilitokea? Meli [emoji569] ilizama muda mfupi baadaye.

Marilyn Monroe alisema: "Simhitaji YESU", siku 3 baadaye alipatikana amekufa.

Binti mmoja alikuwa anaenda kutalii na marafiki zake kwa gari yao ndogo. Mama yake akamwambia binti yake, "Mungu awe nawe".
Cha ajabu binti akajibu, Kwenye gari Hakuna nafasi. Labda huyo Mungu aingie kwenye buti nyuma ya gari, maana yake hakukuwa na nafasi ndani ya gari isipokuwa kwenye buti. Katika safari yao walipata
ajali mbaya ambapo watu wote waliokuwa ndani ya gari hilo walifariki dunia lakini kwenye buti kulikuwa na Trey ya mayai ikakutwa nzima halikuvunjika yai hata moja. Kumbe ni kweli Mungu alikuwepo kwenye buti.

Baba moja alimwambia mwanawe, "Mungu akulinde", mtoto akasema, "rafiki zangu watanilinda kuliko Mungu", alipokuwa akirudi kutoka kazini kwake risasi iliyopotea ilimuua ambapo
marafiki zake walimtazama tu lakini hawakuweza kumlinda.

Mvulana alikwenda kanisani na kukojoa msalabani akisema "hakuna MUNGU", siku iliyofuata alipoteza mikono yake, na kukiri kuunajisi msalaba wa Yesu.

Mwanaume mmoja alipata ujumbe huu na kuufuta akisema ni nini hiki?!! "Mungu hayupo", mtu huyo aliteseka kwa miaka 8 kabla ya kifo,

Mtu mwingine alipata ujumbe huu na kuusambaza kwa watu wengi iwezekanavyo alipandishwa cheo katika kazi yake.

MUNGU hufungua milango ambayo hakuna awezaye kuifunga. Na kama humhitaji MUNGU puuza ujumbe huu na usiueneze............ [emoji17]

Ujumbe unalenga kuzunguka ulimwengu mzima.

Rais wa Argentina aliupokea ujumbe huu na kuupuuza, baada ya siku 8 mtoto wake alikufa.

Mtu mmoja huko Tanga alimdhulumu mtu fedha milioni moja ya shamba. Baba mmoja akamwambia, wewe humjui Mungu. Huyo mtu akajibu, "Mungu, Mungu ni kitu gani? Hakuna Mungu" Baba akamwambia, basi kama humjui utakutana naye njiani. Alipokuwa kwenye safari zake, akakutana na majambazi wakamuua wakachukua fedha laki tatu tu, laki saba zikabaki kwenye mfuko wa bukta ndani ya suruali. Akakutwa ametupwa porini. Watu wakatoa taarifa ikafahamika kwamba ni yule aliyekufuru.

Ujumbe huu ni mtakatifu na wa miujiza.
Shiriki hii neema kwenye vikundi 5 tofauti vya WhatsApp na andika neno "Amen" Kisha subiri katika siku 5 zijazo utapata jambo la kushangaza. Usipuuze!!!

Baraka itakuja kwako kwa namna ya ajabu ikiwa ni nyumba, ndoa, fedha au kazi.

Usiivunje au kuuliza maswali, huu ni mtihani.
Acha kuwa na Akili finyu .Hizi hadithi za kusadikika Zimesha haribu akili zenu.

Mnakuwa kama mazwazwa, Huu ulimbukeni wa kufowadi jumbe ili Mungu akubariki ni ujinga na mawazo mgando..

God is not Conditioned.Mungu hapangiwi masharti ya kumbariki au kumlaani mtu..

Hizi Fiction stories zenu ni sawa na hekaya za abunuwasi...

Amka wewe! Tafuta hela! Mungu wa miujiza hayupo, fanya kazi.
 
Huu ujinga sijui nani aliuanzisha, anachezea sana imani za watu.

Ndio maana mtu anatakiwa asome baada ya kuamini, ili asije akafanya mambo ya kijinga akidhani kuwa ni ubada.
😂😂😂😂 mtihani
 
Kwa hiyo hao majambazi waliomuua mtu ndio Mungu?hivi uko serious kweli mleta Uzi?
 
Watu wa MV bukoka kusema waliongea neno baya kwa Mungu mpaka yakawakuta.
 
Usithubutu kumkufuru Mungu kamwe!! Narudia tena usithubutu kumkufuru Mungu kamwe!!!

Mmiliki wa meli kubwa kuliko zote ya Titanic ⛵️ alisema: "Hata Mungu hawezi kuizamisha
meli hii”, unajua nini kilitokea? Meli ⛵ ilizama muda mfupi baadaye.

Marilyn Monroe alisema: "Simhitaji YESU", siku 3 baadaye alipatikana amekufa.

Binti mmoja alikuwa anaenda kutalii na marafiki zake kwa gari yao ndogo. Mama yake akamwambia binti yake, "Mungu awe nawe".
Cha ajabu binti akajibu, Kwenye gari Hakuna nafasi. Labda huyo Mungu aingie kwenye buti nyuma ya gari, maana yake hakukuwa na nafasi ndani ya gari isipokuwa kwenye buti. Katika safari yao walipata
ajali mbaya ambapo watu wote waliokuwa ndani ya gari hilo walifariki dunia lakini kwenye buti kulikuwa na Trey ya mayai ikakutwa nzima halikuvunjika yai hata moja. Kumbe ni kweli Mungu alikuwepo kwenye buti.

Baba moja alimwambia mwanawe, "Mungu akulinde", mtoto akasema, "rafiki zangu watanilinda kuliko Mungu", alipokuwa akirudi kutoka kazini kwake risasi iliyopotea ilimuua ambapo
marafiki zake walimtazama tu lakini hawakuweza kumlinda.

Mvulana alikwenda kanisani na kukojoa msalabani akisema "hakuna MUNGU", siku iliyofuata alipoteza mikono yake, na kukiri kuunajisi msalaba wa Yesu.

Mwanaume mmoja alipata ujumbe huu na kuufuta akisema ni nini hiki?!! "Mungu hayupo", mtu huyo aliteseka kwa miaka 8 kabla ya kifo,

Mtu mwingine alipata ujumbe huu na kuusambaza kwa watu wengi iwezekanavyo alipandishwa cheo katika kazi yake.

MUNGU hufungua milango ambayo hakuna awezaye kuifunga. Na kama humhitaji MUNGU puuza ujumbe huu na usiueneze............ 😔

Ujumbe unalenga kuzunguka ulimwengu mzima.

Rais wa Argentina aliupokea ujumbe huu na kuupuuza, baada ya siku 8 mtoto wake alikufa.

Mtu mmoja huko Tanga alimdhulumu mtu fedha milioni moja ya shamba. Baba mmoja akamwambia, wewe humjui Mungu. Huyo mtu akajibu, "Mungu, Mungu ni kitu gani? Hakuna Mungu" Baba akamwambia, basi kama humjui utakutana naye njiani. Alipokuwa kwenye safari zake, akakutana na majambazi wakamuua wakachukua fedha laki tatu tu, laki saba zikabaki kwenye mfuko wa bukta ndani ya suruali. Akakutwa ametupwa porini. Watu wakatoa taarifa ikafahamika kwamba ni yule aliyekufuru.

Ujumbe huu ni mtakatifu na wa miujiza.
Shiriki hii neema kwenye vikundi 5 tofauti vya WhatsApp na andika neno "Amen" Kisha subiri katika siku 5 zijazo utapata jambo la kushangaza. Usipuuze!!!

Baraka itakuja kwako kwa namna ya ajabu ikiwa ni nyumba, ndoa, fedha au kazi.

Usiivunje au kuuliza maswali, huu ni mtihani.
Mkuu Mungu yupo na ataendelea kuwepo.
Ninachukia kwa manabii fake kutiisha watu kuwa usipousambaza ujumbe unatokewa na kitu kibaya.
Hata kwenye biblia Yesu aliwatuma wanafunzi wake kwa hiyari bila vitisho akisema;
Mtapokea nguvu atakopowajia Roho mtakatifu, nanyi mtakuwa mashahidi wangu kuanzia Yerusalem hadi mwisho wa nchi.

Hapkukuwa na vitisho.
Msiiharibu imani hii kwa tamaa zenu za umaarufu.
Mcheni Mungu kwa kicho cha haki na unyenyekevu.
 
Hii habari imejaa upotoshaji na ukosefu wa logic mpaka nimeona niachane nayo lakini nikasema ngoja niweke mambo sawa......

Kwahio kwa akili yako Mungu aliamua kuwauwa watu wengi ili amuonyeshe ubabe mmiliki ? (Je hili linaendana na Imani yako kwamba ni mwenye visasi na kuonyeshana mabavu) ?

Kama hili halitoshi story yenyewe ni ya kwenye Gahawa...., Mmiliki hakusema hivyo ila kama marketing ploy alikuwa anasema kwamba Titanic ni Unsinkable unajua tena hili kupata wateja wengi zaidi (sense of security)..., Inasemekana wakati watu wanakimbia kuokolewa mfanyakazi mmoja aliambiwa kwamba TITANIC inazama na yeye kwa kutokuamini na kuamini zile hype za watengenezaji ndio akasema even God can not Sink this Ship....

Kwahio tusiunganishe happenstances kwa kuunga unga vitu..., ukiangalia sana ajali zote kuna uzembe fulani unakuwa umetendeka wala sio sababu ya divine intervention or lack of it.....
 
Acha kuwa na Akili finyu .Hizi hadithi za kusadikika Zimesha haribu akili zenu.

Mnakuwa kama mazwazwa, Huu ulimbukeni wa kufowadi jumbe ili Mungu akubariki ni ujinga na mawazo mgando..

God is not Conditioned.Mungu hapangiwi masharti ya kumbariki au kumlaani mtu..

Hizi Fiction stories zenu ni sawa na hekaya za abunuwasi...

Amka wewe! Tafuta hela! Mungu wa miujiza hayupo, fanya kazi.
Mungu tayar alishabariki dunia sasa sjui wanataka baraka zipi tena
 
Back
Top Bottom