Mngoreme wa pili
Member
- Feb 22, 2024
- 10
- 10
Jeshi la Polisi Kanda maalum ya Dar esSalaam,imemsafirisha Godlista Malisa kwenda nyumbani kwao Kwa ajili ya kumfanyia upekuzi,baada ya kudaiwa kuandika uchochezi katika mitandao ya kijamii.
Kwa vyovyote vile Kwa umaarufi wa Malisa Polisi ni lazima watachukua tahadhari ya usalama wao na wake pale watakapokuwa wanasafiri nae.
Gharama za kumsafurisha Kwa makadirio yasiyo rasmi yanahusisha gari,dereva na askari wasiopungua wawili
Hawa askari watalipwa fedha za kujikimu safarini na Kwa muongozo wa malipo ya serikali fedha ya chini Kwa mtu mmoja haipungui shilingi 100,000
Watu Hawa watatu watalipwa night Kati ya mbili mpaka,ikiwa watalipwa night tatu Kwa 100,000 basi akari mmoja atalipwa laki 3 na wote watatu watalipwa si chini ya 900,000
Ukiongeza na gharama za mafuta kwenye kilometa 1160 watatumia si chini ya shilingi 800,000
Jumla ya fedha hizi zinaweza zisipungue 1,700,000
Gharama hizi zingeweza kuwasaidia waaathirika wa mafuriko wa familia 5-10 Kwa muda wa wiki mbili wakiwa wanakula nankujigaragaza bila shida yoyote,Kwa kuwa tathmini ya kumlisha mtu mmoja Chakula Cha wanga haizidi gram 400
Asante Kwa kuwakilisha