Gharama za kumuuguza Mzee zinaongezeka. Sisi tumeshachoka kwa kweli. Bora tu achukuliwe

Kwanini hamjamkatia bima
 
Pole kwa kuuguza mkuu,endeleea kumuomba Mungu akupe ujasiri wa kuuguza kwani huwezi juwa na wewe au hao kaka zako mnaweza kuishi kama huyo mzee wenu,ila dah,haya maisha yana majaribu sana,kuwa mvumilivu maana kila kitu hapa duniani kina maana yake...
 

Maachallah mkuu, Allah atakulipa kwa kumsimamilia mzee wako mpaka umauti ukamfika na bado upo karibu yake. Hukukata tamaa wala kumtelekeza. Allaah akuongoze na akulipe kwa yote, hili ni funzo kwa mleta mada.
 

Huyo MZEE wako kameza kitu,sasa bas fany hiv.
mtobolee bati juu yan na msumari mwanga uingie ndio kifo chake kitatokea au kama mnaishi ktk nyumba ya nyasi pengine mpo kijijin toboa ukuta kwa ufito yy akiwa ndani chap tu lazima aangushe siku chache zijazo.

Wazee kama mzee wako kinga yake kali sana,ngum roho yake kutoka,kufa atakufa tu ila itachukua muda kama hivyo mtamaliza mali zote,pengine ndio anaondoka nazo hivyo mali zake hamli hata mia mkifany utani
 

Au piga sumu,ndg zako wasijue af unatubu kimy kimy.
 
Ni baba yako huyo, pambana mshua apone kijana.
Apone ili iweje ili aende wapi sasa kama mtu yupo above 90+, Ningekuwa mimi ndo huyo mzee ningeamua kuondoka tu kwa manufaa makubwa ya familia na Wajukuu zangu, Mzee kama huyo ni mbinafsi na Ana serve his own interest ndo mana unaona yupo above 90+ Still ana ngangania matibabu ya gharama, Mimi babu yangu alikuwa na 80+ maradhi yalivyo muandama alichomoka Hospital na Kudai arudishwe nyumbani kwake Kijijini ilikuwa pata shika sikumuelewa babu wakati huo ila inaonesha ni tayari alijiandaa kuchomoko aligeuka kijijini akatuita week mbele aliondoka, Very peaceful tukiwa Karibu yake mimi nilikuwa Mjukuu pekee wa Mwisho mwisho kupiga nae story na pia nilikuwa wajina wake, Babu aliniita na mzee alinichomoa Shule kwenda Bush uko kwa almost a week,
Maneno aliyozungumza Babu nimeyatafakari Nikiwa ukubwani na Kugundua kuwa, Babu aliondoka kwa Mapenzi makubwa na masilahi mapama ya Familia na Sisi Wajukuu zake
 
alistaafu kwa maslahi ya umma. ndo uungwana huo. babu yako alikuwa na busara sana.
 
Roho mbaya tu.

Pesa zatafutwa.

Kifo kiwe asili sio cha kuharakisha.

Halafu mwanamke akikumbia huna pesa unakuja kulalamika hapa, kwa mfano huu unatofauti gani na mwanamke anayemkimbia mwanaume aliefilisika?
 
Unafaa kupewa cheo Cha Mzee wa ukoo ili uwanyooshe.
 
U have already stipulate your self.chizi. but remember utafanywa kama ulivyofanya
 
Hiyo Dingilai kama anachelewa kudedi Mtie Sumu ili afe haraka. Au subiri usiku Mnyonge tu. Kwanini uukize kichwa. Chukua Sumu Kali mlishe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…