Gharama za kumuuguza Mzee zinaongezeka. Sisi tumeshachoka kwa kweli. Bora tu achukuliwe

maelezo miiiiiiiiiingi hujajibu swali langu kwamba jiweke wewe mahala pake ungefanyeje.

" Everybuddy wanna go to heaven but no one wants to dieeeee" "peter tosh ( the wailers)
 
We jamaa inaonyesha Una roho mbaya tu,we kipindi unakunywa mpka unajua wazazi wako wangesema wamekuchoka ungefika apo Acha kufikiria Kwa mkund*** wewe hlf jiheshimu mambo mengne inabd uwe mwanaume Tu ndo maana ukazaliwa mwanaume astaghafilulahi!!!
 
Jamaa ni mpumbavu, Mungu alivyo wa ajabu anaweza kufa na kweli wewe ukamzika lkn wewe ukaugua miaka hautoki chini sasa sijui anafikiria nini
 
Ungekuwa ni wewe ndio umekuwa Mzee namna hiyo ungekubali kufa kisenge tuanzie hapa na swali hilo
 
Sasa kumbe ulikuwa na majibu yako kichwani takutaka kumuua baba yako kwa kisingizio cha yeye ni mzee unaona kama anakufilisi sasa mjadala huu umeuleta huku wanini???

Nachokiona ni kuwa Mungu amekuleta huku ili ibaki ushuhuda mara baada ya kumaliza kazi yako ya kumuua baba yako aliyeteseka na wewe ili usome ,yeye kuwa masikini ili wewe utajirike, nasema hivi siku ukikamilisha hilo rudi kusoma tena ujumbe huu na nafsi itakusuta,

Quraan inathibitisha kuwa kwa lile umfanyialo mwezio na wewe utafanyiwa( kamatadinu tudani) hivyo ukisha Muua na wewe pia utauawa kwa style hiyo hiyo, tena yawezekana usiwe nzee, no ukiwa kijana hivyo hivyo , utaumwa hata kansa tu na haina dawa, utafikisika na watoto wako watachoka watakuua kama utakavyo kufanya sasa kwa baba yako,

My take
Muuguze mzee hadi pale Mungu atakapo taka kumchukua muda wake ukifika
 
Yote hii inasababishwa na umaskini. Juzi naongea na jamaa yangu wa Katavi, anasema mzee aliugua wameuza mpaka ng'ombe 100 wamezunguka hospital zote kubwa kubwa kutafuta uzima wa mzee wao. Gharama ikaja jumla 36m hatimaye Mungu akamchukua. Sema ni matajiri wa ng'ombe, mzee wao alikuwa na ng'ombe 12k. Sasa hili kapuku linazidiwa mawazo na Msukuma!
 
Sio aishi kuishi ni jukumu la Mungu.
Unapigania kupona kwake.
 
Sio aishi kuishi ni jukumu la Mungu.
Unapigania kupona kwake.
Madaktari wameshakuambiakuwa umri wake kwa magonjwa yake hawezi pewa matibabu aina flani. so ni kukaa tu kusubiri uponyaji
 
Ndio vijana wa sasa hivi walivyo
 
....Wewe ni Mtoto wake kweli wa Kumzaa ....Ama ni Baba wa Mke wako ??
Unuombea Baba Yako Mzazi afe ???
Unakumbuka kuwa bila yeye kutingisha Kiuno chake wewe usingekuwepo Duniani...Ukimtakia Afe ? Unajua kwamba unaweza kufa kabla yake, Ukapumzika Salama malalamiko Yako ??? [emoji848][emoji848][emoji848]
 
usinitishe, tena nasema usinitishe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…