Habari wandugu poleni na mihangaiko kusudio langu kwa wale wanao fahamu gharama ya kupata crdb visa or master card INA gharimu sh ngapi lengo ni kufanya malipo ya nje ya nchi na pia kuonganishwa na pay pal,skrill,netteler na zingine there fore kwa anaejua msaada please thank you all.