IBRA wa PILI
JF-Expert Member
- Oct 12, 2017
- 1,503
- 2,426
Habari wandugu, poleni na mihangaiko.
Kusudio langu kwa wale wanaofahamu gharama ya kupata CRDB visa or master card inagharimu sh ngapi. Lengo ni kufanya malipo ya nje ya nchi na pia kuunganishwa na pay pal, skrill, netteler na zingine therefore kwa anaejua.
Msaada please thank you all.